Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Hahaha 2015 alituambia analala na mafaili akatuletea kina Makonda.

Labda sasa anatafuta warundi jamani, huko ccm hakuna mwenye akili na hawaaminiki afanyeje?!
 
Sidhani kama ni afya sana/ ni sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Alisema hataki kupangiwa. Makatibu wakuu wanafanya kaz za mawaziri. Mwacheni Tanzania sas ni shamba lake atafanya atakavyo
 
Sidhani kama ni afya sana/ ni sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?

Mkuu GENTAMYCINE, Katiba inasemaje juu ya muda unaostahili baraza liundwe baada ya kua umeapishwa kushika mamlaka ya nchi? Sema mzee anapenda afanye anavyotaka yeye kwa sababu zake! So tuwe wapole atakuambia kwani kuna kitu hakiendi?
 
Hamna haja ya mawaziri. Wanamaliza hela tu.
Nahisi Akili pekee ulizonazo tu ni zile za Kubadili Pedi ikijaa na Kuosha Mbunye kama ikiwa inatema ila Kwingineko una Upumbavu ule usiovumilika.
 
Moderator uzi wangu umeuunganisha sehemu ambayo haina ulinganifu, kinachotokea kwa kutangazwa baraza la mawaziri ndicho kiini cha bandiko langu but mmeunga na kitu kingine, so sad πŸ˜”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…