Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Yaani mmnaambiwa I can manage the country with only 3 ministers .Nje ,waziri mkui na nje .The rest ni kunisumbua tu
 
Yeye ndio kila kitu, siyo lazima kuwe na mawaziri.
jiwe na washauri wake.jpg

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri akiendesha kikao hapo juu!​
 
Hahahaa undeni haraka hiyo serikali yenu ya chama kimoja tuanze kuona matunda ya 28th October. Au mnasemaje wakulungwa wenzangu waunde haraka tuone, si ndioo?
Ndioooooooooo!!!

Tunataka tuone wamebaki nyeweeee !!! Wapinzani walikua wanachelewesha maendeleo ... bunge bila ya upinzani ndani ya mwaka mmoja Tanzania kuwa kama California
 
Ile kauli ya Zitto
'tumewapa nchi washamba na malimbukeni'
Ilikuwa kauli yenye maana sana
..... Zito mwenyewe ni mshamba na limbukeni! Kuongoza nchi hakuhitaji wapiga wajanja dili bali kunahitaji watu makini wenye maono ambao kwa wale wenye akili fupi hudhani kuwa ni malimbukeni.

1607044339309.jpeg

Zitto alipokuwa upinzani alijikomba sana kwa Kikwete ili amshinikize spika kusudi yeye ndiye mwenyekiti wa kamati fulani ya bunge na record zipo; huo ni upande upi wa upinzani aliokuwa wakati huo?
 
Tatizo kunawatu wakiwa nakitu hupenda wanyenyekewe,waringishie,watishie,wasubiriwe kwa hamu,wafatwefatwe,watu wajipendekeze kwao,wajiinue nk.
Hata Mimi utotoni nilipoenda na mpira wa gozi shule nilikuaga hivyo kwenye kuchagua timu zakucheza... Na kwenyekucheza usiponisifusifu,kunitajataja na kuniskiliza kwenye kutoa pasi nakutoa hatakama unajua kama messi!!!
Sasa unapokuwa unapata exposure unagundua haina maana ni ushamba na akili yautoto ilisumbua unabadilika!!!
Iwapo umekaa kikijijini sana huna exposure hata lugha unaongea kilafudhi yenu, kiingereza huwezi basi unaweza bakiwa na ushamba huo hadi uzeeni.
 
Vyama viitishe press kudai Baraza la Mawaziri. Hili baraza la rais na Mawaziri wawili tena wa fedha na mambo ya nje linaweza kugeuka kuwa timu ya ufujaji.

Tusimuamini mwanasiasa.

Rais anataka kutuletea Mambo kama ya Mbowe ya kuwa na Kamati ndogo ya Kamati Kuu. Uzoefu kupitia kwa Mbowe umedhihirisha kamati ndogo huwa inaharibu na inaleta utengano katika uongozi kwa wengine kujiona daraja la kwanza.

Hatutaki Baraza dogo la Baraza la Mawaziri tunataka Baraza Kamili la mawaziri.
Mbowe alichomfanya huyu jamaa ni Mungu pekee ajuae.Baraza la mawaziri lakini na Mbowe katajwa.Mramba,kuna kitu kinaitwa "monotonous".Unalirudia jambo mpka linatia kichefuchefu!!
 
swali ni je wakiwepo huwa wanafanya kazi zao ? maana juzi nilikuwa namsikiliza mzee mmoja alikuwa waziri wa Moi huko kenya anasema alipoteuliwa akaenda ikulu akauliza majukumu yake akaambiwa utakuwa unaenda Airport kupokea wageni
anasema tangu ameteuliwa hakuitwa ikulu kupewa maelekezo yoyote Moi alifanya kazi zote yeye
 
Mwezi mmoja na siku kadhaa zinaendelea kuonyesha shauku ya watanzania kuona viongozi wasaidizi wa mkuu wa nchi na waziri mkuu walitangazwa na kuwaona wakifanya kazi, baada ya Rais kuwatangaza na kuwaapisha mawaziri wawili, waziri wa fedha na mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki, wakitegemea siku si nyingi majina ya wateule wengine wapo ubaoni.

Wajuzi na wachambuzi wa mfumo wa kiuongozi wameongea na kujadili mengi ila uhamuzi lazima unafanywa na walioshika mpini.

Kuanzia leo jioni au teseme mwishoni mwa juma hili balaza jipya linaenda kutangazwa na kuna baadhi ya mabadiriko yanaenda kuonekana kwa viongozi wengi waliokuwepo hapo nyuma kukatwa na kuwekwa mawaziri na manaibu wapya kabisa.

Tega sikio kujua nani ni nani ndani siku hizi mbili ndani au nje balaza linapotangazwa.
 
Nashukuru sana kwa taarifa hizi njema. Ubunge tayari ninao, nasubiria kwa hamu kwa sababu safari iliyopita sikuwemo kwenye baraza la mawaziri. Umesema kutakuwa na mabadiliko makubwa na hivyo kuna uwezekano mkubwa safari hii nikawemo. Nikibahatika kupata nitakuwa wa kwanza kukutumia vocha kwenye simu yako kama zawadi ya wewe kuleta habari hizi njema mno
 
Back
Top Bottom