Ukiona hivyo ujue watanzania wanapigwa balaa., tunamaliza miaka yetu 5 hivyo lazima tupate wasaa wakula vizuri bila bugdha, utaambiwa wanabana matumizi lakini rasilimali zinakwanguliwa bila hesabuHao mawaziri wana mchango gani zaidi ya kuongeza matumizi makubwa serikalini?
Yeye ndio kila kitu, siyo lazima kuwe na mawaziri.
Ndioooooooooo!!!Hahahaa undeni haraka hiyo serikali yenu ya chama kimoja tuanze kuona matunda ya 28th October. Au mnasemaje wakulungwa wenzangu waunde haraka tuone, si ndioo?
..... Zito mwenyewe ni mshamba na limbukeni! Kuongoza nchi hakuhitaji wapiga wajanja dili bali kunahitaji watu makini wenye maono ambao kwa wale wenye akili fupi hudhani kuwa ni malimbukeni.Ile kauli ya Zitto
'tumewapa nchi washamba na malimbukeni'
Ilikuwa kauli yenye maana sana
Ni hatari snUkiona hivyo ujue watanzania wanapigwa balaa., tunamaliza miaka yetu 5 hivyo lazima tupate wasaa wakula vizuri bila bugdha, utaambiwa wanabana matumizi lakini rasilimali zinakwanguliwa bila hesabu
Mbowe alichomfanya huyu jamaa ni Mungu pekee ajuae.Baraza la mawaziri lakini na Mbowe katajwa.Mramba,kuna kitu kinaitwa "monotonous".Unalirudia jambo mpka linatia kichefuchefu!!Vyama viitishe press kudai Baraza la Mawaziri. Hili baraza la rais na Mawaziri wawili tena wa fedha na mambo ya nje linaweza kugeuka kuwa timu ya ufujaji.
Tusimuamini mwanasiasa.
Rais anataka kutuletea Mambo kama ya Mbowe ya kuwa na Kamati ndogo ya Kamati Kuu. Uzoefu kupitia kwa Mbowe umedhihirisha kamati ndogo huwa inaharibu na inaleta utengano katika uongozi kwa wengine kujiona daraja la kwanza.
Hatutaki Baraza dogo la Baraza la Mawaziri tunataka Baraza Kamili la mawaziri.
Kuna kipindi nchi imeendeshwa bila gigiro na watu wanne tuHao mawaziri wana mchango gani zaidi ya kuongeza matumizi makubwa serikalini?
Nashukuru sana kwa taarifa hizi njema. Ubunge tayari ninao, nasubiria kwa hamu kwa sababu safari iliyopita sikuwemo kwenye baraza la mawaziri. Umesema kutakuwa na mabadiliko makubwa na hivyo kuna uwezekano mkubwa safari hii nikawemo. Nikibahatika kupata nitakuwa wa kwanza kukutumia vocha kwenye simu yako kama zawadi ya wewe kuleta habari hizi njema mnoMwezi mmoja na siku kadhaa zinaendelea kuonyesha shauku ya watanzania kuona viongozi wasaidizi wa mkuu wa nchi na waziri mkuu walitangazwa na kuwaona wakifanya kazi, baada ya Rais kuwatangaza na kuwaapisha mawaziri wawili, waziri wa fedha na mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki, wakitegemea siku si nyingi majina ya wateule wengine wapo ubaoni.
Wajuzi na wachambuzi wa mfumo wa kiuongozi wameongea na kujadili mengi ila uhamuzi lazima unafanywa na walioshika mpini.
Kuanzia leo jioni au teseme mwishoni mwa juma hili balaza jipya linaenda kutangazwa na kuna baadhi ya mabadiriko yanaenda kuonekana kwa viongozi wengi waliokuwepo hapo nyuma kukatwa na kuwekwa mawaziri na manaibu wapya kabisa.
Tega sikio kujua nani ni nani ndani siku hizi mbili ndani au nje balaza linapotangazwa.