Nchi kumi za Afrika zinazoongoza kwa mitara (ndoa za wake wengi)

Nchi kumi za Afrika zinazoongoza kwa mitara (ndoa za wake wengi)

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Wanaume wa western Africa pengine ni wanaume zaidi ya wale wa southern, northern na eastern Africa kwani kwenye hii list 1-10 ya wenye mitara wanatoka nchi za Africa magharibi.

1. Burkina Faso: 36%
2. Mali: 34%
3. Gambia: 30%
4. Niger: 29%
5. Nigeria: 28%
6. Guinea:26%
7. Guinea-Bissau:23%
8. Senegal: 23%
9. Togo: 17%
10. Chad: 15%
 
Screenshot_20231005-151915.jpg
 
Polygamy is not about a man having many wives,but it is every woman having a husband 🤣🤣
 
Haishangazi sana kwasababu hizo nchi zote asilimia 90% ni waislam kwahyo ni mojawapo ya kutekeleza maagizo ya dini
 
Back
Top Bottom