Ninachojiuliza, serikali ikishazinunua korosho inazipeleka wapi (maana soko la korosho duniani limedorora)!π³π³π³ au ndiyo zitagawanywa mashuleni na ofisini tuzitafune?... πππ
Mjiandae kuwapokea, maana sioni sehemu nyingine ya kukimbilia zaidi ya Kenya...Nawahurumia hao wafanya biashara maana kitakachowakuta, yaani ikitokea Magu aangukie pua kwa hili la korosho baada ya maonyesho ya ubabe kiasi hicho, itawabidi hao wafanya biashara kuihama nchi.
Hivi nyinyi watu wa lumumba mbona mnapenda kujitia aibu?Jemedali huwa ni jemedali[emoji2321][emoji2321][emoji2321][emoji2321]
Sasa wewe pimb unajielewa kweli!??,kwaiyo na wewe unafkr umeandika kiswahili fasaha !!??Kubalini tu kenya hamjui kiswahili!! na ushahidi ni kwamba sisi tukiandika kiswahili fasaha huku mnaona ni kibovu kwasababu hamjui kiswahili....Hahahahahahahahahahahaha,Kila mara mimi husikia eti Tz ni magwiji wa lugha ya Kiswahili ila nikisoma wanachoandika humu naona majanga. Alafu lugha za mama hamziwezi, Kiingereza hamkiwezi, Kiswahili hamkiwezi sasa ni lugha gani mtaweza?
PimbSasa wewe pimb unajielewa kweli!??,kwaiyo na wewe unafkr umeandika kiswahili fasaha !!??Kubalini tu kenya hamjui kiswahili!! na ushahidi ni kwamba sisi tukiandika kiswahili fasaha huku mnaona ni kibovu kwasababu hamjui kiswahili....Hahahahahahahahahahahaha,
Sielew kiswahili ulichoandika.Pimb
Kwaiyo
Unafkr
Kwasababu
Ushahidi wa mtu asiyeelewa lugha ya Kiswahili.
This country is totally a mess@ uchumi umekufa hii nchi nibora hata burundiKwandoto zako
Failed statesMagu bwana
Anauthubutu safi sana
Tanzania we are far better than KenyaThis country is totally a mess@ uchumi umekufa hii nchi nibora hata burundi
Aiteteleke...
Kiswahili majanga, kingereza kiliwagomea, mtatoka vipi jameni.
Umemkamata penyewe....hehehePimb
Kwaiyo
Unafkr
Kwasababu
Ushahidi wa mtu asiyeelewa lugha ya Kiswahili.
Kila mara mimi husikia eti Tz ni magwiji wa lugha ya Kiswahili ila nikisoma wanachoandika humu naona majanga. Alafu lugha za mama hamziwezi, Kiingereza hamkiwezi, Kiswahili hamkiwezi sasa ni lugha gani mtaweza?
JemedaliX2 pia ni 'spelling error'? [emoji15] Kuna siku nilikuwa maeneo flani kule Rombo nikasikia wakisema eti hiyo ni lugha ya makada. [emoji1]Teh teh teh tihiii
all these for only spelling errors.
Tukiandika kiswahili sanifu humu hamtang'amua kitu sawa mjombaKila mara mimi husikia eti Tz ni magwiji wa lugha ya Kiswahili ila nikisoma wanachoandika humu naona majanga. Alafu lugha za mama hamziwezi, Kiingereza hamkiwezi, Kiswahili hamkiwezi sasa ni lugha gani mtaweza?
JemedaliX2 pia ni 'spelling error'? [emoji15] Kuna siku nilikuwa maeneo flani kule Rombo nikasikia wakisema eti hiyo ni lugha ya makada. [emoji1]
Interestingly, he hasn't even realized it. Low IQ is bad.ππππUmemkamata penyewe....hehehe
Sielew kiswahili ulichoandika.
Far better than Kenya and you are the biggest exporter of beggarsTanzania we are far better than Kenya
Ninachojiuliza, serikali ikishazinunua korosho inazipeleka wapi (maana soko la korosho duniani limedorora)!π³π³π³ au ndiyo zitagawanywa mashuleni na ofisini tuzitafune?... πππ
Siku hizi umekuwa mtaalamu wa masoko ya korosho!? Researches zimeshafanyika na inajulikana nini cha kufanya.Ninachojiuliza, serikali ikishazinunua korosho inazipeleka wapi (maana soko la korosho duniani limedorora)!π³π³π³ au ndiyo zitagawanywa mashuleni na ofisini tuzitafune?... πππ
Siku hizi umekuwa mtaalamu wa masoko ya korosho!? Researches zimeshafanyika na inajulikana nini cha kufanya.
Raw cashew kwenye soko la dunia ni $2.5 mpaka $2.8 per kilo ambayo ni zaidi ya sh. Tsh. 5500.
Sasa wewe jamaa unakuja tu kupayuka hapa kufurahisha umati ili upate followers na likes. Ni uzandiki wa hali ya juu.
Serikali ikinunua hizo kwa Tsh. 3,000 na ukifanya cost ya kusafirisha na mambo mengine sh. 500 kwa kika kilo hapo cost itakuwa 3500 kwa tani 200,000 cost itakuwa 700,000,000 mpaka 800,000,000
Tukiuza tani 100,000,000 kama raw tutapata 550,000,000 then utabakiwa na tani 100,000 ambazo unaweza kuzibangua na kuziuza zikiwa zimebanguliwa na kupata faida zaidi.
Nivyema kuacha uzandi. Kama wewe ni mfanya biashara wa korosho haisaidii kwetu. Huwezi kuwa mlanguzi tunakuangalia tu.