Nchi makini huwa haitetereki, Kenya acheni uzandiki

Status
Not open for further replies.
Acha ujinga nchi inadondoka uchumi unafurahia ?? Na mashaka na elimu yako cunt
Kwanza hii tabia yako yakujiona unajua vitu kumbe hewa ni upumbavu.
Pili wewe mbumbumbu usiyejua unwakimbilia kutukana wenzako lini utaelevuka!?
1. Wanafunzi wanasoma bure
2. Uchumi unakua kwa 7.2%
3. Tunajenga SGR
4. Tunapanua Bandari zote
5. Dawa hospital zipo na zimeongezeka
6. Utalii nazidi kukua. Tanzania inaongoza EAC.
7. TRA collections zimeongezeka.
8. Security imeimarika
9. Watumiaji wa madawa ya kulevya wamepungua
10. Mikopo chuo kikuu imeongezeka.
11. Tanzania inaongoza EAC kwenye investment.
12. Meli zinajengwa kila kona
13. Tunajenga bwawa kubwa la kufua umeme 2100MW
14. Nidhamu ya watumishi wa umma imeongezeka.
15. UDSM maktaba kubwa imejengwa (Kubwa kuliko zote Africa)
16. Tunajenga Radar 4 kwaajili ya ulinzi wa anga la TZ.

Sasa wewe mpayukaji utaelewa haya!!. Unapayuka tu eti nchi inaanguka pyu!!?
 

Povu zote hizi kisa umeulizwa swali simple kwa uzi mliotuletea wenyewe, hehehe
Anyway usihangaike maana nimepata jibu, kuna jamaa Mtanzania amewaanika kwenye hili la korosho hadi nimeelewa kwanini hakuna mtu mwenye hela yake na akili zake anaweza kukaribia hapo.
Huu uzi hapa umeeleza yote Tumewashtukia: Tshs bilioni 630 ukitoa Tshs bilioni 250 unabakiwa na Tshs bilioni 380. Serikali imenunua kiasi gani kwa kilo? Twende kazi! - JamiiForums
 
Pwahahaha!!! wewe uulize swali kwangu!!? Mtu mwenye njaa anachojua zaidi ni njaa tu. Siwezi nikauliza swali na mtu mwenye njaa maana nitamjibu kwa kushiba ataanza kutokwa povu.
Shughulikieni kwanza njaa kwenu ndio mje tuongee. Hatuwezi kuongea na watu wenye njaa na wanalala na wanyama.


We can't talk na wanaume dhaifu.

 
Tanzania is trash country bro is just a machinga coutry not businesses investment here@ Dar looks like big damp# Hawks and vendors everywhere even in the CBD
 
Tanzania is trash country bro is just a machinga coutry not businesses investment here@ Dar looks like big damp# Hawks and vendors everywhere even in the CBD
Pwahahaha!!!
Kiwanda cha Marekta - Tanzania


Kiwanda cha nguo Tanzania


Kiwanda cha Vigae


So which investment are you talking about? kama siyo kwamba unapiga kelele tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…