Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Kwanza hii tabia yako yakujiona unajua vitu kumbe hewa ni upumbavu.Acha ujinga nchi inadondoka uchumi unafurahia ?? Na mashaka na elimu yako cunt
Pili wewe mbumbumbu usiyejua unwakimbilia kutukana wenzako lini utaelevuka!?
1. Wanafunzi wanasoma bure
2. Uchumi unakua kwa 7.2%
3. Tunajenga SGR
4. Tunapanua Bandari zote
5. Dawa hospital zipo na zimeongezeka
6. Utalii nazidi kukua. Tanzania inaongoza EAC.
7. TRA collections zimeongezeka.
8. Security imeimarika
9. Watumiaji wa madawa ya kulevya wamepungua
10. Mikopo chuo kikuu imeongezeka.
11. Tanzania inaongoza EAC kwenye investment.
12. Meli zinajengwa kila kona
13. Tunajenga bwawa kubwa la kufua umeme 2100MW
14. Nidhamu ya watumishi wa umma imeongezeka.
15. UDSM maktaba kubwa imejengwa (Kubwa kuliko zote Africa)
16. Tunajenga Radar 4 kwaajili ya ulinzi wa anga la TZ.
Sasa wewe mpayukaji utaelewa haya!!. Unapayuka tu eti nchi inaanguka pyu!!?