Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Maajabu, Tanzania ni moja kati ya nchi masikini zaidi Duniani, inaishi kwa handouts, raisi wake anafunga safari kusafiri Mabara kutafuta mkopo wa dola milioni 100 USD, hapo hapo inafanya kila inalowezekana kuokoa Dunia isiangamie na climate change, hii ni nchi ambayo mchango wake kwenye CO2 emission ni negligible, mfano inaweza kuzalisha umeme usiozidi 1500 MW kuhudimia watu zaidi ya Milioni 45 vs Afrika Kusini wana MW 49 000 na hawajacommit kwenye climate change kama sisi.
Je, tuko out of touch ? Au labda hata hatuelewi nini kinaendelea kwenye hata mambo ya global warming ?
Je, tuko out of touch ? Au labda hata hatuelewi nini kinaendelea kwenye hata mambo ya global warming ?