Nchi masikini ya mwisho Duniani wants to save the World!

Nchi masikini ya mwisho Duniani wants to save the World!

Maajabu, Tanzania ni moja kati ya nchi masikini zaidi Duniani, inaishi kwa handouts, raisi wake anafunga safari kusafiri Mabara kutafuta mkopo wa dola milioni 100 USD, hapo hapo inafanya kila inalowezekana kuokoa Dunia isiangamie na climate change, hii ni nchi ambayo mchango wake kwenye CO2 emission ni negligible, mfano inaweza kuzalisha umeme usiozidi 1500 MW kuhudimia watu zaidi ya Milioni 45 vs Afrika Kusini wana MW 49 000 na hawajacommit kwenye climate change kama sisi.

Je, tuko out of touch ? Au labda hata hatuelewi nini kinaendelea kwenye hata mambo ya global warming ?
Mama anasafiri kwa manufaa ya Taifa letu...
 
Wabongo watu wagumu sana,ukija na mapambio ya kubana matumizi wamo na wanakusapoti na ukija na mapambio ya kulegeza vyuma ndio usiseme wale wale wanakupigia makofi.
 
Back
Top Bottom