Nchi moja imesalia kutia mkataba wa bisahara huru Afrika, huku Tanzania na nchi chache zikiendelea kununa

Kusign ni kitu kingine na kutekelezwa ni kitu kingine. Nchi za Africa hazitilii maanani mikataba mfano mzuri hapa E.A Kenya na Tz (bila kupepesa kila upande umefanya protectionist moves mara kadhaa) Rw na Ug. Nchi karibu zote za Africa zimesign mikataba ya haki za binadamu ila zinafanya madudu tu. Wanasiasa wanamaneno mengi ukimsikia Uhuru anaongelea hii issue unaeza ukashawishika ufunge mzigo upeleke Kajiado ila ukifika Namanga huto amini macho yako. Kuna njia nyingi za ku discourage trade baina ya nchi kuliko hayo makaratasi mfano move ya Kenya sasa hivi wanaitumia KeBS, unapaki lorry lako unasubiri kwa week 2 majibu ya sample ya mzigo wako iliyo pelekwa Nairobi!! Naona Magu ameona asiwe mnafiki kwa kuto ku sign, ila nina uhakika huo mkataba hauto badili msimamo wa Kagame, Magu, Uhuru e.t.c. Africa bado sana, binafsi ningependa huo mkataba ufanikiwe 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
Essay writer
 
Kusign ni kitu kingine na kutekelezwa ni kitu kingine. Nchi za Africa hazitilii maanani mikataba mfano mzuri hapa E.A Kenya na Tz (bila kupepesa kila upande umefanya protectionist moves mara kadhaa) Rw na Ug. Nchi karibu zote za Africa zimesign mikataba ya haki za binadamu ila zinafanya madudu tu. Wanasiasa wanamaneno mengi ukimsikia Uhuru anaongelea hii issue unaeza ukashawishika ufunge mzigo upeleke Kajiado ila ukifika Namanga huto amini macho yako. Kuna njia nyingi za ku discourage trade baina ya nchi kuliko hayo makaratasi mfano move ya Kenya sasa hivi wanaitumia KeBS, unapaki lorry lako unasubiri kwa week 2 majibu.
Mnawaza kuhusu Magu na Namanga tu, wakati wenzenu ukanda huu wanawaza kuhusu Cairo, Accra na Marrakech. Uganda, Rwanda, Burundi, S.Sudan, Kenya wametia saini. Hao wote wapo E.A.C. Sasa wewe jijazie mwenyewe na ufahamu vyema ni nani ndio huwa anawakwaza wenzake ndani ya muungano wetu huu wa Afrika Mashariki.
 
una uhakika Burundi inaburuzwa. hizo dharavi zenu ndio hukwamisha mengi

Burundi siku zote huwa kama koloni lenu, hununia kila mnachonunia, na ndio maana wapo maskini wanashindwa na kainchi kama Rwanda ambapo ni saizi yao. Hawajawahi kufanya maamuzi yao wao kama wao ndani ya muungano, hata Zanzibar wapo huru kuwazidi hao Burundi.
Huo umaskini wao umepelekea wapokelewe kwenu kwa maelfu kuja kufanya kazi ndogo ndogo zisizokua na tija.
 
Eritrea akisaini itakua ndio basi, tutakua tumetimiza idadi ya mataifa yanayohitajika.
Kama nchi moja isiposaini huo mkataba yenyewe haotoruhusiwa kufanya biashara kama wengine ?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Burundi siku zote huwa kama koloni lenu, hununia kila mnachonunia, na ndio maana wapo maskini wanashindwa na kainchi kama Rwanda ambapo ni saizi yao. Hawajawahi kufanya maamuzi yao wao kama wao ndani ya muungano, hata Zanzibar wapo huru kuwazidi hao Burundi.
Huo umaskini wao umepelekea wapokelewe kwenu kwa maelfu kuja kufanya kazi ndogo ndogo zisizokua na tija.
Kwani Kenya mnautajiri gani usije leta stori za GDP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Burundi siku zote huwa kama koloni lenu, hununia kila mnachonunia, na ndio maana wapo maskini wanashindwa na kainchi kama Rwanda ambapo ni saizi yao. Hawajawahi kufanya maamuzi yao wao kama wao ndani ya muungano, hata Zanzibar wapo huru kuwazidi hao Burundi.
Huo umaskini wao umepelekea wapokelewe kwenu kwa maelfu kuja kufanya kazi ndogo ndogo zisizokua na tija.
Msipojiondoa kwenye huo mtazano wa superiority dhidi ya nchi nyingine mtarajie mikwamo mingi sana kwa kila mtakachopigia debe. Hivi mnadhani mtaxamo wenu juu ya Burundi warundi wanaugurahia?. mnadhani mnaweza kukaa nao meza moja?. Kenya mnajisahau sana kuna siku mtagundua mpo nyuma ya mnaodhani Mmewatangulia.
 
Mnawaza kuhusu Magu na Namanga tu, wakati wenzenu ukanda huu wanawaza kuhusu Cairo, Accra na Marrakech. Uganda, Rwanda, Burundi, S.Sudan, Kenya wametia saini. Hao wote wapo E.A.C. Sasa wewe jijazie mwenyewe na ufahamu vyema ni nani ndio huwa anawakwaza wenzake ndani ya muungano wetu huu wa Afrika Mashariki.
Ungesoma bila jazba unge elewa point yangu. Kuhusu nani ana mkwaza mwenzake hamna jibu moja, Ug na Rw wana issue zao, Ug na Ke wanazao bila kuacha Rw na Brnd & Ke na Tz. Ila hii ni move nzuri ambayo inahitaji political will ya kweli siyo PR za wakina Ruto. God bless Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesoma bila jazba unge elewa point yangu. Kuhusu nani ana mkwaza mwenzake. Ug na Rw wana issue zao, Ug na Ke wanazao bila kuacha Rw na Brnd & Ke na Tz. Ila hii ni move nzuri ambayo inahitaji political will ya kweli siyo PR za wakina Ruto. God bless Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ona sasa unamtaja Ruto, sasa DP Ruto anahusikaje kwenye AfCFTA? Najua next utamtaja pia Miguna Miguna na Kiiza Besigye. Very local thinking. Hizi sio zile ligi ndogo ndogo za A.M. au Kenya. Unaongea kuhusu political will ipi hiyo wakati tayari imebaki tu nchi tatu pekee yake Afrika nzima? Alafu hata sio lazima Tz itie saini. Nilitarajia utanieleza sababu za msingi ambazo Tz imesema zinaizuia ijiunge na waafrika wengine. Sidhani kuna sababu zote, labda viongozi wenu hata hawajui kinachoendelea nje ya mipaka ya nchi yenu. Nadhani wamekomalia kwenye shughuli ya kumkomoa Tundu Lissu na kukimbizana na upinzani.
 
Ruto na Uhuru ni team moja hatari sana, ilibidi niseme Uhuruto. Point yangu hayo makaratasi haya ingii field kama una amini leo Tz iki sign Kenya wata acha kuitumia KeBS kuzuia bidhaa za bongo au Tz itafungua milango yote kwa bidhaa za Kenya unajidanganya. Ug na Rw wote wame sign angalia kinacho endelea achilia mbali mpaka wa Brnd na Rw. Inshort inahitaji zaidi ya huo mkataba, EAC tayari tunamkataba kama huo ila results ni tofauti.

Sawa buda. Haina presha.
 
Msipojiondoa kwenye huo mtazano wa superiority dhidi ya nchi nyingine mtarajie mikwamo mingi sana kwa kila mtakachopigia debe. Hivi mnadhani mtaxamo wenu juu ya Burundi warundi wanaugurahia?. mnadhani mnaweza kukaa nao meza moja?. Kenya mnajisahau sana kuna siku mtagundua mpo nyuma ya mnaodhani Mmewatangulia.

Mitazamo haitokuja badilika maana siku zote lazima kunaye anayemzidi mwenzie, hapo ulipo kuna wanaokuzidi na pia kunao walio nyuma yako. Haitokuja siku sote tuwe sawa hata tukijidanganya kivipi, ila cha msingi ni kila mmoja atie bidii na ashirikiane na wenzake. Kenya na Wakenya leo hii tumewekeza sana kwenye mataifa ya EAC, na pia tumeingiza pua SADC, lakini sasa Afrika inafunguliwa yote, yaani soko la walaji bilioni moja litakua mbele yetu, tushindwe wenyewe tu, ila kwa watu mliolemazwa na mifumo ya kunun'gunika na kununia kila kitu, mtaendelea kuwa watazamaji wa wenzenu wakijaribu na kuthubutu.

Ni kweli sio lazima tufaulu kwa mpigo mmoja, changamoto zitaibuka, lakini cha msingi tunathubutu sio kujifungia ndani kama mazombi na kuteseka kwenye umaskini wa kujitakia wenyewe.
 
Ona sasa unamtaja Ruto, sasa DP Ruto anahusikaje kwenye AfCFTA? Najua next utamtaja pia Miguna Miguna na Kiiza Besigye. Very local thinking. Hizi sio zile ligi ndogo ndogo za A.M. au Kenya. Unaongea kuhusu political will ipi hiyo wakati tayari imebaki tu nchi tatu pekee yake Afrika nzima? Alafu hata sio lazima Tz itie saini. Nilitarajia utanieleza sababu za msingi ambazo Tz imesema zinaizuia ijiunge na waafrika wengine. Sidhani kuna sababu zote, labda viongozi wenu hata hawajui kinachoendelea nje ya mipaka ya nchi yenu. Nadhani wamekomalia kwenye shughuli ya kumkomoa Tundu Lissu na kukimbizana na upinzani.
unajua ni kwa nini naijeria hawakusaini huo mkataba mara ya kwanza pale kigali?
unajua walitoa sababu gani?
mataifa yanayojitambua huwa hayakurupuki,vp umekula leo?
 
Mitazamo haitokuja badilika maana siku zote lazima kunaye anayemzidi mwenzie, hapo ulipo kuna wanaokuzidi na pia kunao walio nyuma yako. Haitokuja siku sote tuwe sawa hata tukijidanganya kivipi, ila cha msingi ni kila mmoja atie bidii na ashirikiane na wenzake. Kenya na Wakenya leo hii tumewekeza sana kwenye mataifa ya EAC, na pia tumeingiza pua SADC, lakini sasa Afrika inafunguliwa yote, yaani soko la walaji bilioni moja litakua mbele yetu, tushindwe wenyewe tu, ila kwa watu mliolemazwa na mifumo ya kunun'gunika na kununia kila kitu, mtaendelea kuwa watazamaji wa wenzenu wakijaribu na kuthubutu.

Ni kweli sio lazima tufaulu kwa mpigo mmoja, changamoto zitaibuka, lakini cha msingi tunathubutu sio kujifungia ndani kama mazombi na kuteseka kwenye umaskini wa kujitakia wenyewe.
Hongereni sana , lakini kwangu mimi diplomatically mnafeli vibaya.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
34053-img_0182.jpg
Hii ndio siku ambayo historia ya ushirikiano wa nchi za Afrika ilipoandikwa upya. Mwaka jana kule Kigali, Rwanda. Marais na 'heads of states' wa nchi 44 za Afrika walipotia saini mkataba wa AfCTFA kwa pamoja.
 
History Is Made As African Leaders Sign Biggest Trade Treaty Ever- CNN Kwa mara ya kwanza media ambazo zimezoea kuichafua Afrika zilikosa kibaya cha kusema kuhusu kikao hicho cha viongozi wa Afrika. AfCFTA ndio mkataba mkubwa kabisa duniani tangu World Trade Organisation(WTO) ya mwaka 1995. Pia ndio mkataba ambao umeleta pamoja nchi nyingi zaidi ya mkataba wowote mwingine duniani kote. Waafrika tutaheshimiwa tukianza kujiheshimu. Viva Afrika, kazi iendelee kwa kasi!
 
Kumbe huu mkataba ni within Africa countries

Au utaruhusu na bidhaa za Europe kuja Africa kwa kodi kiduchu?

Funny enough unaweza kuta ni mradi wa WB au imf. mbaya zaidi kuna porous nyingi mfano EPA agreement , ndio lango Lao la bidhas kutoka Europe kuuzwa africa. pia kuna double agent within Africa leaders ambao hubeba agenda ya wanaotunyonya, mwisho wa siku tutaingia wazima wazima. napendekeza tuanze na capacity building za biashara mutual agreement tuache kudharauliana tuaminiane ndio tutangaze mambo yetu. Kenya wanatengeneza magari lakini katu hutasikia wakihitaji Chuma toka Tanzania au conalt from Congo au kuwapa Burundi watengeneze hata carpert za magari.
 
Back
Top Bottom