MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #61
Tatizo sio kutia saini ila kwenye utekelezaji ndio ngumu mfano ins wazulu wanachokifanya sasa hivi huko South
Angalia Uganda na Rwanda
Tunisia na Libya
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Soma ujumbe wangu mara kdhaa, nimesema changamoto zitakuwepo lakini tutapambana nazo humu huku Afrika.
Usiwe mwepesi wa kukimbia kila ukikumbana na vikwazo, pambana tu.
Hao vijana wa South wanafanya kisa umaskini wa Kiafrika, adui wetu mkubwa ni umaskini, raslimali zinaliwa na kutoroshwa nje ya Afrika, vijana wanakosa ajira na kuanza vituko.