Nchi moja imesalia kutia mkataba wa bisahara huru Afrika, huku Tanzania na nchi chache zikiendelea kununa

Kumbe huu mkataba ni within Africa countries

Au utaruhusu na bidhaa za Europe kuja Africa kwa kodi kiduchu?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
African Continental Free Trade Area(AfCFTA) For Africa by Africans, wazo ambalo lilitekelezwa kwa kushirikisha Umoja wa Afrika, A.U.
 
Kama ni hivyo basi hizo nchi tatu inatakiwa kukubali huo mkataba

Africa for Africa
African Continental Free Trade Area(AfCFTA) For Africa by Africans, wazo ambalo lilitekelezwa kwa kushirikisha Umoja wa Afrika, A.U.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
So kumbe ni upuuzi tu yaani waache chuma karibu wakanunue ulaya alafu wauze bidhaa zao Africa kwa kupunguziwa
Kodi

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 

Mchina anawaangalia tu, mkishaanza mazungumzo na kuukubali rasmi basi atawaadabisha hasa Kenya ambaya mara mko ulaya mara china, umalaya wenu utawaponza
 
Kama wakenya wenyewe kwa wenyewe wanabaguana kudharauriana kwa ajili ya makabila yao unashangaa mkenya kuidharau burundi,hao jamaa ubinfsi upo kwenye damu yao
 
Hili lisikutie wasiwasi, tukipata nchi moja ya mwisho kutia saini Tz tutawaacha muendelee kutafakari, kuwaza, kuwazua, kudadavua, kutathmini, kufikiri, kutaamali, kudhukuru mpaka siku mtie akili....
Sasa wewe inakuhusu nini! Hata tusiposaini? Tafute nchi moja msaini halafu mmuendelee, kama Tanzania haijasaini haina haja ya kuanzisha thread na maneno yako ya kejeli sisi tunakuangalia halafu tunasema hiiii hiiiii aaaaha
 
Sasa wewe inakuhusu nini! Hata tusiposaini? Tafute nchi moja msaini halafu mmuendelee, kama Tanzania haijasaini haina haja ya kuanzisha thread na maneno yako ya kejeli sisi tunakuangalia halafu tunasema hiiii hiiiii aaaaha
it's better not to sign , wanatutafuta Sisi hawa. warned Congo basi kuna fursa
 
We always have to think deep before diciding so that we dont harm others like the issue of airline joint venture among rwanda kenya and s.africa.Kenya never knew they only value equivalent to 3 aeroplanes,reasoning was a problem.
 
Broo..............ongea tu Kiswahili.
 
Tanzania haiwezi kusaini mkataba wowote ule ambao hauna maslahi kwetu.
 
But huoni kama tunachelewa? People are running
Waafrika tumekimbilia sana kila kitu dini,tamaduni,kuwapokea watu weupe tukatawaliwa,kuingia mikataba ya ovyo kwa wageni.tumewapa uraia ovyo wamepora ardhi njaa inatesa ardhi wamekalia.mbio ziendane na tathimini makini. UK leo wanajaribu kuchomoka wapi gia imenasia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utasikia kama Kenya wapo sisi hatupo.
Hahaha! 😀 Umeona eeh? Alafu hadi sasa hivi kwenye uzi huu sijaona hata mtz mmoja mzalendo ambaye ameibuka na taarifa kamili ya msimamo wa serikali yao au hata taasisi yeyote ile ya kitanzania. Viongozi wao pia huwa wanafanana kwa sana na hawa raia, yaani huwa wapo wapo tu. Kwao ni bora tu jogoo awike kukuche alafu jua litue walale, kesho waamkie hiyo process fupi tena.
 

Yote uliyoyataja hapa ndio sababu tunaungana kama Waafrika na kufunguliana masoko baina yetu ili kuepuka kunyonywa na mabeberu, leo hii Tanzania mnanyonywa hadi mumekauka na kubaki mahandaki, gesi inaliwa mchana kweupe hadi inakosa hata maana yake bora ingebaki ardhini, rais wenu mwenyewe alikiri kwamba mabeberu yanawatafuna bila huruma.

Nchi zote za Afrika zimeungana kasoro nyie tu, hamjioni ni kama mna ukichaa wa kiaina, huwa mpo slow sana hata kifikira, kimtazamo na kimawazo.
 
unganeni mje mtukomboe
 
Gambia ametia sahihi, muungano unaweza endelea vizuri sasa.
 
Gambia ametia sahihi, muungano unaweza endelea vizuri sasa.

Kwisha habari, mama Afrika nakupenda, tutaijenga wenyewe tofali kwa tofali, bati kwa bati, hili soko la watu zaidi ya bilioni moja tukiwa na usemi mmoja, msimamo mmoja tutaeleweka, tutakua na changamoto ila kuna msemo huwa napenda kutumia kwenye maisha yangu "The best way out is always through"
Yaani usikimbie changamoto au kujipa vijisababu vya kijinga, pambana na hali kama ilivyo, pita mbele kwa mbele, hamna cha hatua za nyuma....huko huko mbele kitakachozaliwa tutalea tu.
 
Tatizo sio kutia saini ila kwenye utekelezaji ndio ngumu mfano ins wazulu wanachokifanya sasa hivi huko South

Angalia Uganda na Rwanda
Tunisia na Libya
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…