Soma ujumbe wangu mara kdhaa, nimesema changamoto zitakuwepo lakini tutapambana nazo humu huku Afrika.
Usiwe mwepesi wa kukimbia kila ukikumbana na vikwazo, pambana tu.
Hao vijana wa South wanafanya kisa umaskini wa Kiafrika, adui wetu mkubwa ni umaskini, raslimali zinaliwa na kutoroshwa nje ya Afrika, vijana wanakosa ajira na kuanza vituko.