Mahindi ndio chakula cha mifugo au junk food
Uandaji kwa Vipi!? Wewe unaandaaje?Mkate mwenyewe nakula na kulala vizuri kabisa ni uandaaji tu
Ila kama ni mkate tu na chai hiiiiiiiiii
Unalosema ni kweli kabisa na ninashangaa inakuaje hapa bongo kunakuwa na tatizo la nguvu za kiume wakati tuna vyakula vyenye nguvu na virutubisho.Kweli kila nchi na tamaduni zake, msosi pia ni sehemu ya tamaduni. Wakati bongo tunajivunia chipsi yai, au supu chapati usichukulie poa, Mrisho Ngasa na Kapombe walishindwa kucheza Ulaya kisa chipsi yai.
Turudi kwenye mada, nikiwa Cape town, nilishuhudia watu wakila soda na mikate kama mlo, Zimbabwe, Zambia, USA wataita hotdog Ila ndio huohuo,
Ulaya ukipandisha bei ya mkate utapata shida Sana.
Kwa wakristo sala ya Beans kuna ile phrase ya our daily bread imekuwa termed kama chakula, hata Yesu Alisha watu elfu tano samaki na mkate,
Mkate ni chakula sio kitafunwa Kwa wenzetu.
Mimi slice 4 za mkate mayai ya kukaanga 3 glass ya juice na tunda kama parachichi tikiti etc usiku natosheka kabisaUandaji kwa Vipi!? Ww unaandaaje?
Mkate ni chakula Bora Sana ukimiminia na Mayai
Mkate ni ngano kinachotuchanganya wabongo ni namna ulivyotengenezwa mfano mimi naweza rudi home nikakuta watoto wanakula mkate na kitimoto na maziwa hapo hata aliekula wali haoni ndani.Mkate mwenyewe nakula na kulala vizuri kabisa ni uandaaji tu
Ila kama ni mkate tu na chai hiiiiiiiiii
mkuu tanzania hatuna shida ya chakula japo ipo kwa mmoja mmoja ila mkate mpaka unakuwa chakula dah nimejaribu kuvaa viatu vyao vimenibana