Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Hata hapa Tanzania kama hamtajifunza kwa wenzenu wa nchi za Ulaya na Marekani mtapoteza influence sana miaka michache ijayo
Kumbukeni Gene Z, Gen Alpha na sasa Gen Beta sio kizazi kitakacho danganywa na injili ya vitu na mafanikio ya haraka na miujiza. Jifunzeni kwa Kanisa Katoliki linalojikita kwenye kufundisha Injili na neno na Mungu na Imani kwa kina. Pia limekuwa likitoa huduma za Elimu, Afya huduma nyingine kwa jamii na kufanya kuwa sio imani
tuu bali sehemu ya maisha ya watu.
Leo hii Northern Ireland, Germany ni strong hold ya Roman Catholics. United State of America 26% are Catholics wakati ilikuwa ni Protestants strong hold by 2050 USA itakuwa Catholic majority country.
Asia pia kanisa Katoliki waliingia China na kwa sasa kiasi cha watu million 10 ni Wakatoliki hivyo hivyo kwa India, Southern Korea na pia baadhi nchi kama Pakistan namba inaongezeka kidigo kidigo.