Nchi nyingi za Ulaya na Amerika, Protestants wakuwa Atheists na wengine wamebadilika kuwa Wakatoliki

Mkatoliki na muanglikana ni kujiita tu. Na pope siyo kitu cha ajabu zaidi ya kusema Askofu wa Roma. Kama ambavyo Anglikana wana Askofu wa Canterbury. Imani yao na ibada yao inasema wao ni kitu kimoja.
Kama wao wana kiongozi wao kwa nini useme wao ni Wakatoliki. Sema wame
tokana na Katoliki na wali copy mambo mengi Katoliki kama ilivyo kwa Lutheran
lakini usisema sisi ni wa moja.
 
Hata hapa Tanzania kama hamtajifunza kwa wenzenu wa nchi za
Ulaya na Marekani mtapoteza influence sana miaka michache ijayo

Kumbukeni Gene Z, Gen Alpha na sasa Gen Beta sio kizazi kitakacho
danganywa na injili ya vitu na mafanikio ya haraka na miujiza.
Jifunzeni kwa Kanisa Katoliki linalojikita kwenye kufundisha Injili na
neno na Mungu na Imani kwa kina. Pia limekuwa likitoa huduma
za Elimu, Afya huduma nyingine kwa jamii na kufanya kuwa sio imani
tuu bali sehemu ya maisha ya watu.

Leo hii Northern Ireland, Germany ni strong hold ya Roman Catholics. United
State of America 26% are Catholics wakati ilikuwa ni Protestants strong hold by
2050 USA itakuwa Catholic majority country.

Asia pia kanisa Katoliki waliingia China na kwa sasa kiasi cha watu million 10 ni Wakatoliki
hivyo hivyo kwa India, Southern Korea na pia baadhi nchi kama Pakistan namba inaongezeka
kidigo kidigo.
Unashauri Waprotestant wafanyeje ili hao Genz wasipotee.Kwa sababu kwa hapa Tz hata kanisani hawataki tena kuingia iwe romani au protestant.
 
Kwa Roman Catholics tatizo sio kubwa sana kama kwa Protestants.

Na shauri wajikite kufundisha imani kwa kina zaidi tangu mtoto akiwa bado mdogo
na wazazi washiriki ipasavyo.
 
Catholic hawa hawa waabudu masanamu na ibada za wafu? Basi hao maprotestant hawana akili kabisa
 
Kama wao wanakiongozi wao kwa nini useme wao ni Wakatoliki. Sema wame
tokana na Katoliki na wali copy mambo mengi Katoliki kama ilivyokwa Lutheran
lakini usisema sisi ni wa moja.
Kanisa siyo kiongozi, ni imani. Sehemu kubwa ya imani ya Katoliki na Anglicana ni ile ile. Na kutengana kwao hakukuwa sababu ya kiimani kama ambavyo walutheran walivyojitenga na Catholics.
 
Kwa Roman Catholics tatizo sio kubwa sana kama kwa Protestants.

Na shauri wajikite kufundisha imani kwa kina zaidi tangu mtoto akiwa bado mdogo
na wazazi washiriki ipasavyo.
Sawa,hasa hapo unaposema "imani toka mtoto mdogo" maana hataicua hata akiqa mkubwa.pia wazazi
 
Kanisa siyo kiongozi, ni imani. Sehemu kubwa ya imani ya Katoliki na Anglicana ni ile ile. Na kutengana kwao hakukuwa sababu ya kiimani kama ambavyo walutheran walivyojitenga na Catholics.
Sababu ilikuwa ni Imani, mfalme Henley wa 6 alitaka Papa amruhusu aoe mke
wa pili ili abahatishe kupata mtoto wa kiume. Papa ndio akakataa kubadili sheria
hiyo ya kanisa. Henley achukia akaanzisha church of England/ Anglican linalotii serikali
yake.
 
Ukatoliki upo kitambo sana tu kabla ya kuja martin luther na matengenezo ya kanisa. John calvin akaja na church of england, baadaye wakaja wengine na uamsho wa kanisa. Kanisa linaendelea mbele halitarudi nyuma. Hao wanaorudi nyuma ni wakengeufu. Kuhusu miujiza na mafanikio ya haraka hakuna kanisa linalofundisha mafundisho hayo labda hawa mitume na manabii feki. Mathalani makanisa ya kipentekoste yanafundisha utakatifu sambamba na kufanya kazi kwa bidii kwa mujibu wa biblia
 
Wewe ndio huelewi soma ujue vizuri. Maaskofu kadhaa wa Anglican
nchi Uingereza wamebadika kuwa Wakatoliki. Tony Blair aliyekuwa waziri
Mkuu wa Uingereza alibadilika na kuwa Mkatoliki hao ni watu maarufu ila
wa kawaida ndio wengi zaidi.
Anglikana na Roman Catholic wanafanana!
 
Ukatoliki upo kitambo sana tu kabla ya kuja martin luther na matengenezo ya kanisa. John calvin akaja na church of england, baadaye wakaja wengine na uamsho wa kanisa. Kanisa linaendelea mbele halitarudi nyuma. Hao wanaorudi nyuma ni wakengeufu. Kuhusu miujiza na mafanikio ya haraka hakuna kanisa linalofundisha mafundisho hayo labda hawa mitume na manabii feki. Mathalani makanisa ya kipentekoste yanafundisha utakatifu sambamba na kufanya kazi kwa bidii kwa mujibu wa biblia
Sawa kabisa!
 
Sababu ilikuwa ni Imani, mfalme Henley wa 6 alitaka Papa amruhusu aoe mke
wa pili ili abahatishe kupata mtoto wa kiume. Papa ndio akakataa kubadili sheria
hiyo ya kanisa. Henley achukia akaanzisha church of England/ Anglican linalotii serikali
yake.
Ni beef la mfalme na papa tu. Kama ingekuwa imani leo Anglikana lingekuwa linaruhusu kuoa wake wengi.
 
Hata hapa Tanzania kama hamtajifunza kwa wenzenu wa nchi za Ulaya na Marekani mtapoteza influence sana miaka michache ijayo

Kumbukeni Gene Z, Gen Alpha na sasa Gen Beta sio kizazi kitakacho danganywa na injili ya vitu na mafanikio ya haraka na miujiza. Jifunzeni kwa Kanisa Katoliki linalojikita kwenye kufundisha Injili na neno na Mungu na Imani kwa kina. Pia limekuwa likitoa huduma za Elimu, Afya huduma nyingine kwa jamii na kufanya kuwa sio imani
tuu bali sehemu ya maisha ya watu.

Leo hii Northern Ireland, Germany ni strong hold ya Roman Catholics. United State of America 26% are Catholics wakati ilikuwa ni Protestants strong hold by 2050 USA itakuwa Catholic majority country.

Asia pia kanisa Katoliki waliingia China na kwa sasa kiasi cha watu million 10 ni Wakatoliki hivyo hivyo kwa India, Southern Korea na pia baadhi nchi kama Pakistan namba inaongezeka kidigo kidigo.
Idadi ya catholics wanaoongezeka Marekani mainly ni kwa sababu ya wahamiaji wanaotoka Ulaya na Amerika kusini.

Pia imani za miujiza na baraka sio asili ya mahubiri ya mainstream protestant churches bali chimbuko lake ni charismatic na pentecostal ministries.
 
Ukatoliki upo kitambo sana tu kabla ya kuja martin luther na matengenezo ya kanisa. John calvin akaja na church of england, baadaye wakaja wengine na uamsho wa kanisa. Kanisa linaendelea mbele halitarudi nyuma. Hao wanaorudi nyuma ni wakengeufu. Kuhusu miujiza na mafanikio ya haraka hakuna kanisa linalofundisha mafundisho hayo labda hawa mitume na manabii feki. Mathalani makanisa ya kipentekoste yanafundisha utakatifu sambamba na kufanya kazi kwa bidii kwa mujibu wa biblia
Sio kweli kanisa kama Lutheran limepoteza influence sio ulaya tu hata hapa Tanzania.

Mahubiri kama ya Mchungaji Kimaro sio mahubiri ya kuiweka imani ya kina kwa mtu.
waumini wao wengi wamekimbili kwa manabii na mitume.
 
Tunazungumzia Imani sio maendeleo yanayofanya watu waseme
hakuna Mungu.
Even atheism is a form of belief. Belief in one's own reasoning. Cogito, ergo sum. You just can't separate faith and religion from human development. There's en masse exodus from Protestantism because people no longer benefit from it.​
 
Acha mambo ya kukopy na ku paste, toa mambo kichwani kwako
andika kwa lugha ya watu wengi wanayo ielewa ili wakujibu.
 
Sio kweli kanisa kama Lutheran limepoteza influence sio ulaya tuu hata hapa Tanzania.

Mahubiri kama ya Mchungaji Kimaro sio mahubiri ya kuiweka imani ya kina kwa mtu.
unabisha nini wakati hufuatilii kukua kwa kanisa? Ni kweli lutheran imepoteza mvuto na ushawishi lakini si kama katoliki. Katoliki ndio hakuna kitu kule, ni taasisi kama taasisi zingine za kidunia tu
 
Hata hapa Tanzania kama hamtajifunza kwa wenzenu wa nchi za Ulaya na Marekani mtapoteza influence sana miaka michache ijayo

Kumbukeni Gene Z, Gen Alpha na sasa Gen Beta sio kizazi kitakacho danganywa na injili ya vitu na mafanikio ya haraka na miujiza. Jifunzeni kwa Kanisa Katoliki linalojikita kwenye kufundisha Injili na neno na Mungu na Imani kwa kina. Pia limekuwa likitoa huduma za Elimu, Afya huduma nyingine kwa jamii na kufanya kuwa sio imani
tuu bali sehemu ya maisha ya watu.

Leo hii Northern Ireland, Germany ni strong hold ya Roman Catholics. United State of America 26% are Catholics wakati ilikuwa ni Protestants strong hold by 2050 USA itakuwa Catholic majority country.

Asia pia kanisa Katoliki waliingia China na kwa sasa kiasi cha watu million 10 ni Wakatoliki hivyo hivyo kwa India, Southern Korea na pia baadhi nchi kama Pakistan namba inaongezeka kidigo kidigo.
Mungu hayupo mkuu, baadaye, kwa sababu ya maendeleo ya kielimu ,kisayansi na kiteknolojia, karibu wote hao watajua na dini itakuwa kama fashion ya kihistoria tu.
 
unabisha nini wakati hufuatilii kukua kwa kanisa? Ni kweli lutheran imepoteza mvuto na ushawishi lakini si kama katoliki. Katoliki ndio hakuna kitu kule, ni taasisi kama taasisi zingine za kidunia tu
Njoo na data kusapoti unachosema? Mimi nakupa mfano Ujerumani
Evangelical Lutheran Church baada ya mageuzi ilikuwa dominant Ujerumani

Leo hii limepoteza influence huko Ujerumani now wapo 20% ya population
ya Ujerumani wakati Wakatoliki wameongezeka kufikia 30% ya population ya
Ujerumani.
 
Back
Top Bottom