Nchi nyingi za Ulaya na Amerika, Protestants wakuwa Atheists na wengine wamebadilika kuwa Wakatoliki

Nchi nyingi za Ulaya na Amerika, Protestants wakuwa Atheists na wengine wamebadilika kuwa Wakatoliki

Kilichonifurahisha ni kuwa WAPAKISTANI wanarudi kwa YESU spidi Sana na kuzikimbia hadhithi za alfu lela ulela eti utapewa mabikira 72 mara kaburini Kuna jamaa anatoa kipondo kwa mwili ambao tayari umekuwa mzoga na unajiozea tuu
Ni kweli Pakistan wanarudi kwa Yesu pamoja na mazingira magumu ya

Kiusalama anapofanya hivyo ila hawajali wanabatizwa hivyo hivyo na kuwa
Wakristo.
 
Unaweza ukaweka guts hapa kwamba kwanini imekuwa ikiaminika mtu/watu kudondoka ni lazima watakuwa na mapepo?

Kwani mtu hawezi akawa na pepo asidondoke au akawa hana pepo akadondoka?

Unaweza ukaweka guts hapa kwamba kwanini imekuwa ikiaminika mtu/watu kudondoka ni lazima watakuwa na mapepo?

Kwani mtu hawezi akawa na pepo asidondoke au akawa hana pepo akadondoka?
Mtu akidondoka wakati mahubiri yakiendelea ni dalili ya kuwa nguvu za Mungu zipo mahali hapo lakini siyo Kila anaedondoka ana mapepo wengine ni njaa, uchovu nk na wengine hawadondoki ingawa wana mapepo ambapo huwatoka kimya kimya. Panapohubiriwa injili lazima ishara hizo ziwepo kinyume chake ni ubatili
 
Back
Top Bottom