Nchi nyingi za Ulaya na Amerika, Protestants wakuwa Atheists na wengine wamebadilika kuwa Wakatoliki

Nchi nyingi za Ulaya na Amerika, Protestants wakuwa Atheists na wengine wamebadilika kuwa Wakatoliki

Hata hapa Tanzania kama hamtajifunza kwa wenzenu wa nchi za Ulaya na Marekani mtapoteza influence sana miaka michache ijayo

Kumbukeni Gene Z, Gen Alpha na sasa Gen Beta sio kizazi kitakacho danganywa na injili ya vitu na mafanikio ya haraka na miujiza. Jifunzeni kwa Kanisa Katoliki linalojikita kwenye kufundisha Injili na neno na Mungu na Imani kwa kina. Pia limekuwa likitoa huduma za Elimu, Afya huduma nyingine kwa jamii na kufanya kuwa sio imani
tuu bali sehemu ya maisha ya watu.

Leo hii Northern Ireland, Germany ni strong hold ya Roman Catholics. United State of America 26% are Catholics wakati ilikuwa ni Protestants strong hold by 2050 USA itakuwa Catholic majority country.

Asia pia kanisa Katoliki waliingia China na kwa sasa kiasi cha watu million 10 ni Wakatoliki hivyo hivyo kwa India, Southern Korea na pia baadhi nchi kama Pakistan namba inaongezeka kidigo kidigo.
🤣🤣🤣 weee sjui utembei kuna sehemu hapa Tz uwende usikute Kkkt? na wametowa huduma za afya elimu ya ufund mpaka chuo na elimu ya msing kwaiyo watu waliona mbali wee coz utembei unaona wamelala pole sana
 
Mungu hayupo mkuu, baadaye, kwa sababu ya maendeleo ya kielimu ,kisayansi na kiteknolojia, karibu wote hao watajua na dini itakuwa kama fashion ya kihistoria tu.
Ahaa haaa Kiranga bana, Mungu yupo Jana, Leo na hata Milele

hayo maendeleo ya kufanya watu waseme hakuna Mungu ni agenda.
ya shetani kudhoofisha kazi ya Mungu ila haitafanikiwa.
 
🤣🤣🤣 weee sjui utembei kuna sehemu hapa Tz uwende usikute Kkkt? na wametowa huduma za afya elimu ya ufund mpaka chuo na elimu ya msing kwaiyo watu waliona mbali wee coz utembei unaona wamelala pole sana
Wapo ila graph yao ya kukuwa sio kubwa wanaathiriwa na Makanisa ya
Mitume na Manabii imani yao waumini wao sio thabiti sana.
 
Hapana, kupumua kwangu inathibitisha napumua.

Hujaunganisha kupumua huko na uwepo wa Mungu.

Kupumua kwangu kunathibitisha vipi Mungu yupo?
Ni tendo ambalo sio huwezi kujicontrol hivyo inathibitisha kuna extra ordinary

Power inafanya hivyo.
 
Ni tendo ambalo sio huwezi kujicontrol hivyo inathibitisha kuna extra ordinary

Power inafanya hivyo.
Logical non sequitur fallacy.

Hata kama kuna extra ordinary power, hilo halijathibitisha Mungu ndiye hiyo extra ordibary power.

Hujathibitisha Mungu yupo bado.
 
KKKT Tanzania aseeh mna migogoro kila kukicha sijapata ona......

Njoo kwa walokole Kuna makanisa kama mangapi ya kilokole na kila moja Lina sera zake....

Kaaazii kweli kweli......
 
Wewe ndio huelewi soma ujue vizuri. Maaskofu kadhaa wa Anglican
nchi Uingereza wamebadika kuwa Wakatoliki. Tony Blair aliyekuwa waziri
Mkuu wa Uingereza alibadilika na kuwa Mkatoliki hao ni watu maarufu ila
wa kawaida ndio wengi zaidi.
The trend of Roman Catholicism in Europe is currently on a decline, contrasting with increases in other parts of the world. Recent data indicates that Europe experienced a reduction of approximately 474,000 Catholics in 2022, continuing a multi-year trend of decreasing numbers of Catholics on the continent. This decrease has been seen alongside a global decline in the number of priests and religious personnel, with Europe experiencing significant losses in these areas as well

Aleteia
Catholic News Agency
Evangelical Focus
.

While Europe shows this downward trend, other regions, notably Africa and Asia, have seen growth in Catholic populations. Africa, in particular, has recorded significant increases, adding millions of new Catholics each year. This growth aligns with increases in the number of priests and seminarians in these regions, pointing to a more vibrant and expanding Catholic presence there

Aleteia
Catholic News Agency
Evangelical Focus
.
Overall, the dynamics of Roman Catholicism are shifting globally, with declines in traditional strongholds like Europe and growth in other parts of the world.
 
Kule hakuna nguvu ya Mungu, maombi ya kupitia Kwa bikra Maria hayawezi kumtisha pepo mkatolic akiombewa na wenye nguvu ya Mungu huwa wanaanguka sana tu.
Unaweza ukaweka guts hapa kwamba kwanini imekuwa ikiaminika mtu/watu kudondoka ni lazima watakuwa na mapepo?

Kwani mtu hawezi akawa na pepo asidondoke au akawa hana pepo akadondoka?
 
Gen Z wengi wa ulaya na Marekani wanapenda ushoga, kanisa katoliki ndio mahala pake, mapdri mashoga na walawiti ndio kwao.
 
hawa pentekosts nawakubali sana ni wanyumbufu sana na hawana hiana. wanalea sana wana wasio na habari ya mambo ya dini humu mijini. hawachagui wanamzika wa dini gani na nani hawamziki.

we ukitaka huduma tu unampandia tu pasta hewani utashangaa kaibuka huyu apa na apo ana joho lake kabisa. kama ishu ni kuzika itapigwa sala chap hapo mnamaliza shughuli mnasambaa zenu. hawa wengine dooh🙄mlolongo mrefu
 
Makanisa ya maokoto hayo..hata hawamjui marehemu, mnampa pesa na atakusanya rambirambi
 
Kilichonifurahisha ni kuwa WAPAKISTANI wanarudi kwa YESU spidi Sana na kuzikimbia hadhithi za alfu lela ulela eti utapewa mabikira 72 mara kaburini Kuna jamaa anatoa kipondo kwa mwili ambao tayari umekuwa mzoga na unajiozea tuu
 
The trend of Roman Catholicism in Europe is currently on a decline, contrasting with increases in other parts of the world. Recent data indicates that Europe experienced a reduction of approximately 474,000 Catholics in 2022, continuing a multi-year trend of decreasing numbers of Catholics on the continent. This decrease has been seen alongside a global decline in the number of priests and religious personnel, with Europe experiencing significant losses in these areas as well

Aleteia
Catholic News Agency
Evangelical Focus
.

While Europe shows this downward trend, other regions, notably Africa and Asia, have seen growth in Catholic populations. Africa, in particular, has recorded significant increases, adding millions of new Catholics each year. This growth aligns with increases in the number of priests and seminarians in these regions, pointing to a more vibrant and expanding Catholic presence there

Aleteia
Catholic News Agency
Evangelical Focus
.
Overall, the dynamics of Roman Catholicism are shifting globally, with declines in traditional strongholds like Europe and growth in other parts of the world.
Sijasema kuwa Wakatoliki Ulaya hawajapungua la hasha

Mimi nilicompare na kati ya Wakatoliki na Protestants hasa kwenye
nchi zilizokuwa na Protestants wengi.
 
Back
Top Bottom