Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
-
- #21
Kama wao wana kiongozi wao kwa nini useme wao ni Wakatoliki. Sema wameMkatoliki na muanglikana ni kujiita tu. Na pope siyo kitu cha ajabu zaidi ya kusema Askofu wa Roma. Kama ambavyo Anglikana wana Askofu wa Canterbury. Imani yao na ibada yao inasema wao ni kitu kimoja.
Unashauri Waprotestant wafanyeje ili hao Genz wasipotee.Kwa sababu kwa hapa Tz hata kanisani hawataki tena kuingia iwe romani au protestant.Hata hapa Tanzania kama hamtajifunza kwa wenzenu wa nchi za
Ulaya na Marekani mtapoteza influence sana miaka michache ijayo
Kumbukeni Gene Z, Gen Alpha na sasa Gen Beta sio kizazi kitakacho
danganywa na injili ya vitu na mafanikio ya haraka na miujiza.
Jifunzeni kwa Kanisa Katoliki linalojikita kwenye kufundisha Injili na
neno na Mungu na Imani kwa kina. Pia limekuwa likitoa huduma
za Elimu, Afya huduma nyingine kwa jamii na kufanya kuwa sio imani
tuu bali sehemu ya maisha ya watu.
Leo hii Northern Ireland, Germany ni strong hold ya Roman Catholics. United
State of America 26% are Catholics wakati ilikuwa ni Protestants strong hold by
2050 USA itakuwa Catholic majority country.
Asia pia kanisa Katoliki waliingia China na kwa sasa kiasi cha watu million 10 ni Wakatoliki
hivyo hivyo kwa India, Southern Korea na pia baadhi nchi kama Pakistan namba inaongezeka
kidigo kidigo.
Kwa Roman Catholics tatizo sio kubwa sana kama kwa Protestants.Unashauri Waprotestant wafanyeje ili hao Genz wasipotee.Kwa sababu kwa hapa Tz hata kanisani hawataki tena kuingia iwe romani au protestant.
Kanisa siyo kiongozi, ni imani. Sehemu kubwa ya imani ya Katoliki na Anglicana ni ile ile. Na kutengana kwao hakukuwa sababu ya kiimani kama ambavyo walutheran walivyojitenga na Catholics.Kama wao wanakiongozi wao kwa nini useme wao ni Wakatoliki. Sema wame
tokana na Katoliki na wali copy mambo mengi Katoliki kama ilivyokwa Lutheran
lakini usisema sisi ni wa moja.
Sawa,hasa hapo unaposema "imani toka mtoto mdogo" maana hataicua hata akiqa mkubwa.pia wazaziKwa Roman Catholics tatizo sio kubwa sana kama kwa Protestants.
Na shauri wajikite kufundisha imani kwa kina zaidi tangu mtoto akiwa bado mdogo
na wazazi washiriki ipasavyo.
Sababu ilikuwa ni Imani, mfalme Henley wa 6 alitaka Papa amruhusu aoe mkeKanisa siyo kiongozi, ni imani. Sehemu kubwa ya imani ya Katoliki na Anglicana ni ile ile. Na kutengana kwao hakukuwa sababu ya kiimani kama ambavyo walutheran walivyojitenga na Catholics.
Anglikana na Roman Catholic wanafanana!Wewe ndio huelewi soma ujue vizuri. Maaskofu kadhaa wa Anglican
nchi Uingereza wamebadika kuwa Wakatoliki. Tony Blair aliyekuwa waziri
Mkuu wa Uingereza alibadilika na kuwa Mkatoliki hao ni watu maarufu ila
wa kawaida ndio wengi zaidi.
Sawa kabisa!Ukatoliki upo kitambo sana tu kabla ya kuja martin luther na matengenezo ya kanisa. John calvin akaja na church of england, baadaye wakaja wengine na uamsho wa kanisa. Kanisa linaendelea mbele halitarudi nyuma. Hao wanaorudi nyuma ni wakengeufu. Kuhusu miujiza na mafanikio ya haraka hakuna kanisa linalofundisha mafundisho hayo labda hawa mitume na manabii feki. Mathalani makanisa ya kipentekoste yanafundisha utakatifu sambamba na kufanya kazi kwa bidii kwa mujibu wa biblia
Ni beef la mfalme na papa tu. Kama ingekuwa imani leo Anglikana lingekuwa linaruhusu kuoa wake wengi.Sababu ilikuwa ni Imani, mfalme Henley wa 6 alitaka Papa amruhusu aoe mke
wa pili ili abahatishe kupata mtoto wa kiume. Papa ndio akakataa kubadili sheria
hiyo ya kanisa. Henley achukia akaanzisha church of England/ Anglican linalotii serikali
yake.
Idadi ya catholics wanaoongezeka Marekani mainly ni kwa sababu ya wahamiaji wanaotoka Ulaya na Amerika kusini.Hata hapa Tanzania kama hamtajifunza kwa wenzenu wa nchi za Ulaya na Marekani mtapoteza influence sana miaka michache ijayo
Kumbukeni Gene Z, Gen Alpha na sasa Gen Beta sio kizazi kitakacho danganywa na injili ya vitu na mafanikio ya haraka na miujiza. Jifunzeni kwa Kanisa Katoliki linalojikita kwenye kufundisha Injili na neno na Mungu na Imani kwa kina. Pia limekuwa likitoa huduma za Elimu, Afya huduma nyingine kwa jamii na kufanya kuwa sio imani
tuu bali sehemu ya maisha ya watu.
Leo hii Northern Ireland, Germany ni strong hold ya Roman Catholics. United State of America 26% are Catholics wakati ilikuwa ni Protestants strong hold by 2050 USA itakuwa Catholic majority country.
Asia pia kanisa Katoliki waliingia China na kwa sasa kiasi cha watu million 10 ni Wakatoliki hivyo hivyo kwa India, Southern Korea na pia baadhi nchi kama Pakistan namba inaongezeka kidigo kidigo.
Sio kweli kanisa kama Lutheran limepoteza influence sio ulaya tu hata hapa Tanzania.Ukatoliki upo kitambo sana tu kabla ya kuja martin luther na matengenezo ya kanisa. John calvin akaja na church of england, baadaye wakaja wengine na uamsho wa kanisa. Kanisa linaendelea mbele halitarudi nyuma. Hao wanaorudi nyuma ni wakengeufu. Kuhusu miujiza na mafanikio ya haraka hakuna kanisa linalofundisha mafundisho hayo labda hawa mitume na manabii feki. Mathalani makanisa ya kipentekoste yanafundisha utakatifu sambamba na kufanya kazi kwa bidii kwa mujibu wa biblia
Kufanana huko ni kwa sababu wamecopy kutoka Kanisa Katoliki ila sio wamoja.Anglikana na Roman Catholic wanafanana!
Tunazungumzia Imani sio maendeleo yanayofanya watu waseme
hakuna Mungu.
Sio beef je mpaka leo Kanisa Katoliki limesharuhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. ?Ni beef la mfalme na papa tu. Kama ingekuwa imani leo Anglikana lingekuwa linaruhusu kuoa wake wengi.
Acha mambo ya kukopy na ku paste, toa mambo kichwani kwakoEven atheism is a form of belief. Belief in one's own reasoning. Cogito, ergo sum. You just can't separate faith and religion from human development. There's en masse exodus from Protestantism because people no longer benefit from it.
unabisha nini wakati hufuatilii kukua kwa kanisa? Ni kweli lutheran imepoteza mvuto na ushawishi lakini si kama katoliki. Katoliki ndio hakuna kitu kule, ni taasisi kama taasisi zingine za kidunia tuSio kweli kanisa kama Lutheran limepoteza influence sio ulaya tuu hata hapa Tanzania.
Mahubiri kama ya Mchungaji Kimaro sio mahubiri ya kuiweka imani ya kina kwa mtu.
Mungu hayupo mkuu, baadaye, kwa sababu ya maendeleo ya kielimu ,kisayansi na kiteknolojia, karibu wote hao watajua na dini itakuwa kama fashion ya kihistoria tu.Hata hapa Tanzania kama hamtajifunza kwa wenzenu wa nchi za Ulaya na Marekani mtapoteza influence sana miaka michache ijayo
Kumbukeni Gene Z, Gen Alpha na sasa Gen Beta sio kizazi kitakacho danganywa na injili ya vitu na mafanikio ya haraka na miujiza. Jifunzeni kwa Kanisa Katoliki linalojikita kwenye kufundisha Injili na neno na Mungu na Imani kwa kina. Pia limekuwa likitoa huduma za Elimu, Afya huduma nyingine kwa jamii na kufanya kuwa sio imani
tuu bali sehemu ya maisha ya watu.
Leo hii Northern Ireland, Germany ni strong hold ya Roman Catholics. United State of America 26% are Catholics wakati ilikuwa ni Protestants strong hold by 2050 USA itakuwa Catholic majority country.
Asia pia kanisa Katoliki waliingia China na kwa sasa kiasi cha watu million 10 ni Wakatoliki hivyo hivyo kwa India, Southern Korea na pia baadhi nchi kama Pakistan namba inaongezeka kidigo kidigo.
Njoo na data kusapoti unachosema? Mimi nakupa mfano Ujerumaniunabisha nini wakati hufuatilii kukua kwa kanisa? Ni kweli lutheran imepoteza mvuto na ushawishi lakini si kama katoliki. Katoliki ndio hakuna kitu kule, ni taasisi kama taasisi zingine za kidunia tu