Kilichonifurahisha ni kuwa WAPAKISTANI wanarudi kwa YESU spidi Sana na kuzikimbia hadhithi za alfu lela ulela eti utapewa mabikira 72 mara kaburini Kuna jamaa anatoa kipondo kwa mwili ambao tayari umekuwa mzoga na unajiozea tuu
Mtu akidondoka wakati mahubiri yakiendelea ni dalili ya kuwa nguvu za Mungu zipo mahali hapo lakini siyo Kila anaedondoka ana mapepo wengine ni njaa, uchovu nk na wengine hawadondoki ingawa wana mapepo ambapo huwatoka kimya kimya. Panapohubiriwa injili lazima ishara hizo ziwepo kinyume chake ni ubatili