Nchi nyingi zakatisha mahusiano na Israel. China waifuta kabisa kwenye ramani. Tanzania tufuatie

Usibadilishe historia, kwenye opium war China ndo alishindwa hadi kupelekea waingereza kuikalia Hong Kong, wamekuja kuirejesha tena kwa China majuzi tu 1997
 
Nilidhani wanaiambua Hamasi iwaachie mateka, unailaumu Israel wakati wanapigana kukomboa watu wao.
 
Wayahudi wakiamua kutorudi nyuma, huwa hawarudi, ni watu wenye msimamo sana
Huo hauitwi msimamo.Ni kiburi na kiburi si sifa nzuri ya kibinadamu.Katika historia tangu kuumbwa kwa Ulimwengu wote waliofanya viburi vilivyopitiliza waliangamizwa na anayestahiki sifa hiyo.
 
mikononi mwa Uiengereza
 
Kuna watu wanawashwa pabaya
 
Weka chanzo sasa cha hii historia.
 
Umeambiwa Wayahudi na si Israel.
Kama ndio ivyo basi ujue awamu hii anaepigana vita ni Taifa la Israel na sio wayahudi. Kwaiyo kuwatuumu wayahudi wakati anaepigana vita ni Taifa la Israel unakuwa unakosea.
 
Wakate tu hayo mahusiano sio mara ya kwanza Israel kutengwa na wafia dini ila kichapo kwa Hamas kitaendelea mpaka mpaka Hamas waachilie mateka na wajisalimishe wenyewe

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Vichaa hawa
Kwa kifupi hii jamii ni ya watu walalamishi kama watoto yatima.

Wanaanzisha ugomvi wakiguswa wao kidogo tu mikelele hadi kuzimu watasikia!
 
Wakate tu hayo mahusiano sio mara ya kwanza Israel kutengwa na wafia dini ila kichapo kwa Hamas kitaendelea mpaka mpaka Hamas waachilie mateka na wajisalimishe wenyewe

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Israel hawana nia ya kuokoa mateka na Hamas hawawezi kujisalimisha kama askari wa Ukraine kule Azovstal
 
Poleni sana,zile alakbar zimepotelea wapi hadi sasa kuhitaji huruma ya kimataifa,endeleeni na alakbar zenu,mayahudi wanajua jinsi ya kudeal na magaidi. No mercy.
 
Wakate tu hayo mahusiano sio mara ya kwanza Israel kutengwa na wafia dini ila kichapo kwa Hamas kitaendelea mpaka mpaka Hamas waachilie mateka na wajisalimishe wenyewe

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Ya kwamba A.kusini ni wafia dini?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hivi kwanini we ni mpumbavu hivyo? Huna kazi ya kufanya, hao wapalestina hata wanakufahamu? pimbi ni pimbi tu, hiyo dini umeletewa na waarabu we kima. Acha uzushi wa kipuuzi hangaika na umaskini wako.
 
"kutuma vikosi vyao chini ya UN kwenda kuwapiga Israel ili waache kuuwa watu kama shetani "ni kuzima moto kwa petrol

Wakifa raia upande wa Israel kwako ni sawa kwa sababu ndicho kitakachotokea na Israel siyo wanyonge tutarajie vifo maradufu huko palestinia na kwingineko

Nafikiri mngebase kwenye kuwahimiza hamas na ndugu zake kusitisha kujibu mashambulizi yoyote ya Israel kuanzia sasa
Na kuwaachia mateka wa Israel bila masharti
Na ikibidi kutangaza kuomba amani na Israel ili kuwaponya raia wake ambao wanauwawa kama kweli palestinia na wengineo duniani wana uchungu na hilo
Lakini tofauti na hapo inatafsiriwa kwamba palestinia mnaiweza bato na kipigo kitaendelea sana bila kujali

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Waliokatisha yumkini hawaoni haja ya kuendelea
 
Huo hauitwi msimamo.Ni kiburi na kiburi si sifa nzuri ya kibinadamu.Katika historia tangu kuumbwa kwa Ulimwengu wote waliofanya viburi vilivyopitiliza waliangamizwa na anayestahiki sifa hiyo.

Mtume alileta jeuri na kiburi kilichopelekea kunyweshwa Sumu na mtumwa wa kiyahudi, kisa kilichopelekea hadi kifo chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…