Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunayoshuhudia hapa ni matokeo ya mipango mibovu ya kiuchumi na si yatokanayo na Ukrain na Urusi maana sisi hatuko huko.CCM wamelaaniwa... Tegemeo lao sasa ni polisi tu. Threshold ya Watanzania itafika tu siku moja. It is just a matter of time...
04 January 2022
"SITAKI KUWADANGANYA, SERIKALI YA MIKOPO HAIKUANZA 2021, TULISHAKOPA HADI TUKAPEWA JINA" -
SAMIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Leo Jumanne Januari 04, 2022 asema hakuna mtu sasa hivi analia ukata kuwa fedha hakuna mifukoni mwao, maana mzunguko wa fedha umepanuka na kuwafikia wananchi kila pahali. Anayelia ukata ni yule asiyefanya kazi.
Mh. Rais amenena hayo wakati akipokea Taarifa ya Utekelezaji wa Matumizi ya Fedha za Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19.
08 April 2022
Mwanza, Tanzania
Waalimu nao waandamana kudai haki zao
Mother tongue zimetuathiri. Kiswahili cha kusomea hiki mpaka ukaririMwandishi hujui tofaut ya r n l
Kamuulize Ndugai yuko wapi?Wewe sema wanaufipa ndo mnachuki na maendeleo ya taifa lenuuu.
Muulize Ndugai, Bashiru na Sabaya wako wapi? Ndio ujue maana ya nyakati na muda.Vijana wa bavicha ni wajinga sana,!
.
Mlikuwa mnasema Magufuli amewabana na juzi tu haoa nkawa nnafurahia kifo chake mkisema mnapumua!
Alafu ukome kutujumlisha wote! Mimi siyo miongoni mwa hao raia unaosema! Utusitusemee tafadhali
Sababu ya kuzima internet tar 27 oktoba ilikuwa nini?Umeandika upuuzi mtupu! Kwa upinzani upi haswa wa kumfanya Magufuli atumie gharama kupora uchaguzi?? Yaani hata Magufuli asingefanya kampeni ilikuwa wazi kuwa angeshinda kutokana na kupendwa na kukubalika kwake katika mioyo ya watanzania na hakuwa na mpinzani wa kumfikia hata robo.CCM ya sasa ina/itachukiwa na wanaCCM kadhaa kwa kuacha kufuata misimamo ya Magufuli na kukengeuka na kuruhusu juhudi zote zilizofanyika katika kipindi chake katika kuinua uchumi kuwa bure.Mfano takwimu zinaonyesha tangu afariki uchumi umeshuka,Wizi,Uzembe na ubadhirifu umerejea kwa kasi,Hakuna uwajibishaji,Mifumuko ya bei,Mafuta na miamala ya simu,Kuruhusu chanjo ya Covid,Safari zisizo na tija kwa taifa,Ujambazi kurejea ni baadhi tu yatakayowafanya wanaCCM kuchukia serikali iliyopo kwa kushindwa kusimamia fikra za hayati Magufuli na wengine kumpinga hadharani wakati huu ambapo hatupo naye.Watanzania si wajinga,Tuna macho na tunaona yanayoendelea.