- Thread starter
- #81
Hiki anachofanya Mama Samia kuwaridhisha majahili ccm kinaweza kumkostim Akumbuke hao anaotaka kuwaridhisha wala hata hawampendi hapo alipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki anachofanya Mama Samia kuwaridhisha majahili ccm kinaweza kumkostim Akumbuke hao anaotaka kuwaridhisha wala hata hawampendi hapo alipo
Mwigulu hapaswi kulaumiwa kama mtu pekee wa serikali. Lile genge la kimbunga Jobo pale dodoma ni hovyo kabisaAnayemulaumu MWIGULU ni mpumbavu sana!!
Zaidi ya akili za kula na kunya sidhani kama wa ziada. Ndio maana hata nchi imewashindaVijana wa uvccm ni mataahira sana
Tufunge mkanda kwani tumetoka kwenye vita??Maendeleo hayapatikani bila ya KUIFUNGA MIKANDA.....
Dr.Mwigulu yu sahihi.....
#KaziIendelee
kama sauziCCM wamelaaniwa... Tegemeo lao sasa ni polisi tu. Threshold ya Watanzania itafika tu siku moja. It is just a matter of time...
Nachoweza sema ni kuwa sasa wamejipandisha daraja na wapo ngazi ya maharamia sasa.Kwa sisi tuliofatilia hali ya kisiasa na kijamii kuanzia kuingia kwake madarakani 2015 na uchaguzi wa muhula wa pili 2020 tulijua kabisa na kubashiri janga linaloenda kuikabiri nchi yetu.
Kwa sisi tulioona na kushuhudi uhuni ule wa uchaguzi, matumizi mabaya ya fedha kudhibiti Haki na demokrasia nchini tulijua kabisa baada ya uchaguzi hali ya kiuchumi itakuwa mbaya sana. Nyote ni mashuhuda sasa.
Nchi nzima si wanaccm, chadema wala Chauma. Si wanasiasa hadi wasio na siasa wote wameichukia ccm hasa iliyokita mizizi na fikra za John Pombe magufuli, fikra za kikandamizaji.
Kwa wale tuliosikia zile tetesi kwamba Hayati alikodisha vikosi vya cyber kuja kuchakachua mifumo mingi ya kiteknolojia na internet ili kurahisisha mazingira ya kushinda uchaguzi tuliwaza kabisa kuwa kama ni kweli hizo pesa anazowalipa zinatoka wapi? au ndio amekomba pesa zote za hazina? Kuna wengine wanafika mbali na kusema huenda pesa alizokopa world bank na Uchina kwa ajili yanujenzi wa SGR na Stigler ndio hizo zilitumika ktk mikakati michafu ya uchaguzi october 2020 na hivyo tunalipa ghalama.
Sasa Awamu ya sita imetuchanganya. Huwezi kumjua Mpiga mapambio wa zamani na mpinzani wa zamani. Wote wamekuwa kitu kimoja. Adui wao amekuwa mmona tu, naye ni CCM.
Asante sana CCM kqa kutuunganisha. Sasa ongeza na tozo zingine ili tujenge nchi kwa haraka zaidi.
CCM nambali one.
Washiriki wa uharamia na wawezeshaji namba mojaNachoshukuru polisi nao wapo kwenye tozo wanapelekwa kama mapunda kama wao hawajui kulinda raia na mali zao ni jukumu lao
Polisi hawazidi 50,000 nchi nzima, wananchi ni zaidi ya milioni 30 (hapo nimeondoa under 18 wote). Hii ni sawa na kusema kuna wananchi 600 kwa polisi mmoja. Sasa hapo kusema shida ni polisi inatokea wapi? Ni uoga tu wa wananchi!CCM wamelaaniwa... Tegemeo lao sasa ni polisi tu. Threshold ya Watanzania itafika tu siku moja. It is just a matter of time...
Wote hawa wataendelea kupukutika mdogo mdogoWashiriki wa uharamia na wawezeshaji namba moja
Kifo Cha muuaji Magufuli Ni faraja kwa Taifa.Vijana wa bavicha ni wajinga sana,!
.
Mlikuwa mnasema Magufuli amewabana na juzi tu haoa nkawa nnafurahia kifo chake mkisema mnapumua!
Alafu ukome kutujumlisha wote! Mimi siyo miongoni mwa hao raia unaosema! Utusitusemee tafadhali
Juzi kasema kuna akiba ya kutosha sasa wewe mbugilambugila unasemaje kakuta hakuna hela?Kifo Cha muuaji Magufuli Ni daraja kwa Taifa.
Muuaji Magufuli ndio kamuachia mama zigo la mavi na gunia la misumari alibebe kichwani.
Magufuli alikua Ana matumizi ya hovyo kuliko Raisi yoyote,hakuwa na njia nzuri za kukusanya Kodi zaidi ya ujambazi sasa Samia kakuta hakuna fedha anatapatapa tu.
Hatumwachi kwa sababu wote Ni zao la CCM.
Wacha mjifunze CCM hovyo nyie.
😅😅😅Kifo Cha muuaji Magufuli Ni faraja kwa Taifa.
Muuaji Magufuli ndio kamuachia mama zigo la mavi na gunia la misumari alibebe kichwani.
Magufuli alikua Ana matumizi ya hovyo kuliko Raisi yoyote,hakuwa na njia nzuri za kukusanya Kodi zaidi ya ujambazi sasa Samia kakuta hakuna fedha anatapatapa tu.
Hatumwachi kwa sababu wote Ni zao la CCM.
Wacha mjifunze CCM hovyo nyie.
jambazi lile bora limekufaJuzi kasema kuna akiba ya kutosha sasa wewe mbugilambugila unasemaje kakuta hakuna hela?
Alafu unaposema ni muuaji, kamuua nani?
Kakufanyia ujambazi gani mtu masikini kama wewe?jambazi lile bora limekufa
Umepanic hadi hueleweki ulimaanisha nini!! Tulia anza upya labda tutakuelewa. Eh! Ulitaka kusema?Vijana wa bavicha ni wajinga sana,!
.
Mlikuwa mnasema Magufuli amewabana na juzi tu haoa nkawa nnafurahia kifo chake mkisema mnapumua!
Alafu ukome kutujumlisha wote! Mimi siyo miongoni mwa hao raia unaosema! Utusitusemee tafadhali
Kabebe ubongo wako uliomkabidhi Lisu kwanza ndio utakuja kuelewaUmepanic hadi hueleweki ulimaanisha nini!! Tulia anza upya labda tutakuelewa. Eh! Ulitaka kusema?
Wewe uburuzwi?.au unajishaua tu hapa.Acha ubinafsi wakijinga wakati hata uko kwenu kunanuka umaskini.Kama ni mazuri nenda sasa,Kwa nini upo hapa Tz.
Umesoma histori huko unaamini amini tu.ndio maana mnaburuzwa tu.
Polisi hawazidi 50,000 nchi nzima, wananchi ni zaidi ya milioni 30 (hapo nimeondoa under 18 wote). Hii ni sawa na kusema kuna wananchi 600 kwa polisi mmoja. Sasa hapo kusema shida ni polisi inatokea wapi? Ni uoga tu wa wananchi!
😂😂😂😂ufukara unakusumbua ww.unataka serikali ije ikuwekee hela mfukoni.Wewe uburuzwi?.au unajishaua tu hapa.Acha ubinafsi wakijinga wakati hata uko kwenu kunanuka umaskini.