Nchi nzima wananchi wameongeza chuki dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

29 August 2021
Mbeya, Tanzania

BAWACHA BARAZA LA WANAWAKE CHADEMA WACHACHAMAA, MBOWE SIO GAIDI

 
29 August 2021
Iringa, Tanzania

CHADEMA JIMBO LA IRINGA MJINI WAPIGIA KELELE KUPANDA KWA GHARAMA ZA MAISHA

 
Kuna vitu ambavyo wapanda v8 hawajui kwamba vitawashusha kwenye v8.
Tatizo la ajira.
Bei kuongezeka kila uchao, kuanzia Leo petrol kwa Dar itakua zaidi ya 2500 inamaana ukiwa na elfu kumi unapata Lita tatu.
Tozo kuongezeka na kupunguzwa kihuni. Imewachukua zaidi ya mwezi kupunguza kwa asilimia 30 kweli Kama sio uhuni Ni Nini.
Kubambikia watu kesi kisa Wana mtizamo tofauti wa kisiasa. Wapinzani wote kwa Sasa wanaichukia serikali. Usione wamenyamaza ukadhani wamefurahi.
Wananchi zaidi ya asilimia hamsini wanaichukia serikali kwa jinsi uchaguzi wa 202o ulivyoendeshwa na jinsi walivyo bambikiwa wabunge feki. ( Mmeona maamuzi waliyotoa dhini ya Gwajima, hata monita wa darasa la pili hawezi kutoa uamuzi ule)
Wananchi wananung'unika walanchi wanazidi kuteuana na kubambikia watu kesi.
Kesi za uhujumu uchumi hazina dhamana lkn mwana CCM lusubiro kadhaminiwa. MSIFIKIRI WANANCHI HAWAONI
 
04 January 2022

"SITAKI KUWADANGANYA, SERIKALI YA MIKOPO HAIKUANZA 2021, TULISHAKOPA HADI TUKAPEWA JINA" -


SAMIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Leo Jumanne Januari 04, 2022 asema hakuna mtu sasa hivi analia ukata kuwa fedha hakuna mifukoni mwao, maana mzunguko wa fedha umepanuka na kuwafikia wananchi kila pahali. Anayelia ukata ni yule asiyefanya kazi.

Mh. Rais amenena hayo wakati akipokea Taarifa ya Utekelezaji wa Matumizi ya Fedha za Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19.
 
CCM wamelaaniwa... Tegemeo lao sasa ni polisi tu. Threshold ya Watanzania itafika tu siku moja. It is just a matter of time...
Tunayoshuhudia hapa ni matokeo ya mipango mibovu ya kiuchumi na si yatokanayo na Ukrain na Urusi maana sisi hatuko huko.
 
🤣🤣🤣
 
Vijana wa bavicha ni wajinga sana,!
.
Mlikuwa mnasema Magufuli amewabana na juzi tu haoa nkawa nnafurahia kifo chake mkisema mnapumua!

Alafu ukome kutujumlisha wote! Mimi siyo miongoni mwa hao raia unaosema! Utusitusemee tafadhali
Muulize Ndugai, Bashiru na Sabaya wako wapi? Ndio ujue maana ya nyakati na muda.
 
Sababu ya kuzima internet tar 27 oktoba ilikuwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…