Nchi pekee ambayo ukiwa upinzani basi utakosa amani

Nchi pekee ambayo ukiwa upinzani basi utakosa amani

On Duty

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2020
Posts
566
Reaction score
1,083
Wasaalam wana jamvi.

Nakumbuka kipindi cha nyuma tulipokuwa primary tulikuwa tunaletewa kadi za chama cha kijani na tukilazimishwa wote kusaini kama wanachama wa hicho chama. Naona sasa hiyo kitu kama bado ipo vile maana kila wanachokiona mbele ni chao.

Hivi jamani inakuwaje mtu kupangiwa upande wa kuwa pasipo idhini yako? Yaani mtu ukiwa chama pinzani basi lazima uishi kwa wasiwasi na vitisho. Kwanini tulazimishwe kuwa upande Fulani?

Hilo chama lenu SILITAKI jamaniii, na kama kweli hilo chama linafanya ya msingi basi watu watakuja na kulipenda wenyewe yanini kulazimishwa!
 
Umoja Party ndio Mbadala, hawa wengine ndio hao hao
fb_img_1680258242993-jpg.2572153



Chagua kwa Umakini 2025
 
Back
Top Bottom