Nchi tatu za Ulaya zinaongozwa na marais mashoga; hatuna cha kushauriwa nao

Mtoa mada ni kama amepaniki. Kwa yeyote aliye karibu naye ampe kwanza maji anywe ili ashushe presha.
Mashoga utawaona tu kwa nguvu wanazotumia kutetea tabia yao
 
Mbona kama una wivu nao? Na wewe kama unataka tafuta bwana si ma boss zako UVCCM nao wamo. Hizo ni personal interests sio za kujadili wala kutuzitumia katika mambo ya kitaifa. UVCCM na MACHAWA hamnaga akili hence mnakosa hoja.
 
Wale wahalifu wa Oktoba 29 waliokuwa wanachoma miundombinu walistahili walichopata. Bila risasi wale walikuwa wanaipeleka nchi yetu pabaya
Wengi waliouliwa na polisi wa samia hawakuwa kwenye maeneo ya vurugu hapa Mwanza watu wametolewa kwenye kibanda umiza wakiangalia mpira wakalazwa chini na kupigwa risasi za vichwa hili nalo unalisemeaje? Msipende kuhalalisha uovu .Samia alikuwa analipiza kisasi cha mauaji ya 2001.
 
Heri mashoga hayauwi watu wake wenyewe kisa madaraka.

BTW: Kataeni na pesa zao,siyo mkiambiwa ukweli mnajificha kwenye kichaka cha maisha yao binafsi.
 
Tanzania italindwa kwa wivu mkubwa, haitakuja kufanana na DRC ambayo kina Belgium wameivuruga tangu miaka ya 60 mwanzoni kupitia vibaraka wao akina Mobutu.

Huyo Mobutu wa EU katika miaka hii ya 2026 hana meno kadhibitiwa vilivyo. Hana njia ya kufanya kazi anayotumwa, yapo maarifa ya hali ya juu yanatumika kiusalama katika kuilinda Tanzania.
 
Fedha zao muwe mnazikataa.Msiishie kuzikataa tu bali muwaambie..."hatuchukui fedha zenuu kwa sababu mnafirana na kusagana mnoo"...!
 
huenda huyo chairman wa hiyo kamati ya weak EU pia ana tabia hizo za fedheha,
na huenda yeye kaolewa na huyo aliemtaja mwishoni, au yenye ndie kamuoa huyo aliemtaja mwishoni 🐒

 
Wale wahalifu wa Oktoba 29 waliokuwa wanachoma miundombinu walistahili walichopata. Bila risasi wale walikuwa wanaipeleka nchi yetu pabaya
Huyo unaemuamini wewe mbona nae ni shoga la kike
 
hapo sasa yule anaongozwa na homosexual, huku anaongozwa na mke wa 3 wa mtu, yaani hata kwa mume wake ni ni third class kwa ubora na umuhimu, sasa sijui kipi ni bora, haya maisha ni magumu sana, aisee, duh ...
 
Mashoga huku hela zao mnazitaka,nenda kafirane huko na mashoga wenzako wakina bashite.
 
Mbona kama una wivu nao? Na wewe kama unataka tafuta bwana si ma boss zako UVCCM nao wamo. Hizo ni personal interests sio za kujadili wala kutuzitumia katika mambo ya kitaifa. UVCCM na MACHAWA hamnaga akili hence mnakosa hoja.
Nyie mnashangaza sana, yaani unaita ndoa za jinsia moja ni personal issues?? No wonder Robert Amsterdam anamhangaikia sana Mwenyekiti wenu aliye rumande Ukonga
 
During the unavoidable chaos of the October 2025 unrest in Tanzania, the intersection of volatile protests and heavy-handed enforcement ensured that innocent bystanders and local businesses suffered tragic, inevitable collateral damage.
 
Siyo kwamba wewe unayetuletea hizi habari zako za ushoga na mashoga, ndiyo shoga mwenyewe unakuja kufanya promo kiaina!
Ni nani ametetea huu uharo wako?
Nimetupa jiwe gizani, na mashoga mmetokeza. Aibu
 
Heri mashoga hayauwi watu wake wenyewe kisa madaraka.

BTW: Kataeni na pesa zao,siyo mkiambiwa ukweli mnajificha kwenye kichaka cha maisha yao binafsi.
Ndiyo hatutaki pesa zao, tutajitegemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…