Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 393
- 735
- Thread starter
- #121
That is 100% sure. Israel kazidiwa na PakistanMkuu siamini kama Israel inaweza kuzidiwa na pakistan.
Check tena your source of information
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is 100% sure. Israel kazidiwa na PakistanMkuu siamini kama Israel inaweza kuzidiwa na pakistan.
Check tena your source of information
Huu mchezo hauhitaji paparambona 'sisi' hatumo ina maana ikitokea vita hatuna uwezo wa kujibu mashambulizi.. hii ni hatari sana basi tuwe nako hata kamoja
Nchi zisizojiamini ndo zinahitaji hayo masilaha, sisi tunanini cha kukitengenezea silaha ya nuclear?Please Anko magu ukimaliza kukunua ndege tu nataka angalau moja
Inahusiana nini na kuwa ni jeshi lenye siri? Angeandika ni jeshi lenye nguvu hapo ndo ungeweza kufananisha?Hakuna kitu , mange kimambi wamemshindwa kumkamata
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nimesikia Malawi nae anazalisha nyuklia mbona hayupo kwenye orodha?
Labda nijuzwe kuhusu hili kwanza, hivi jeshi lenye nguvu kigezo kimoja wapo si huwa ni uimara wake kwenye siraha au?That is 100% sure. Israel kazidiwa na Pakistan
Uchumi,silaha ,udhibiti wa angaLabda nijuzwe kuhusu hili kwanza, hivi jeshi lenye nguvu kigezo kimoja wapo si huwa ni uimara wake kwenye siraha au?
Pamoja na wewe kuidharau North Korea kuna watu wanailinganisha na sisi kwa umasikini je unakubaliana nao?North Korea na mbwembwe zake wanamiliki silaha 8 za Nyukilia ? Source ya habari ni nini ? Halafu siri za majeshi yao si wanaficha ?
Mkuu ulikuwa unamaanisha hata sisi Tanzania tunaweza kuwa nalo walau moja?Hizi taarifa kazitoa CIA fact book ambapo fact nyingi zimechakachuliwa. Unategemea mtu wa kawaida ajue military secrets za China au Russia au hats Tanzania ? No way.
Vipi wamemzuia Irani washindwe kumzuia north koreaIran hana bomu la nyuklia ila alikua anataka kutengeneza akawekewa vikwazo akishindwa kutengeneza
Iran alisalimu amri sababu ya vikwazoVipi wamemzuia Irani washindwe kumzuia north korea