Wake ya Kwa Sasa wana vipaji vya kawaida sana.Mbona hujawaweka sasa Wakenya na Waganda? Mfano Wakenya wanapendanga sana kuja kucheza Tz. Sema tu ndiyo tena! Wengi wao wanajua tu kukimbia marathon na ile miguu yao kama chelewa.
Una hoja usikilizweMax atazongua tu.
Ngoja msimu ujao ndo utajua Mkongoman akishapata vihela hafugiki
Abdi Kassim na Nadir Kanavaro.Wazanzibar hawana shida.
Ila wengi kama sio wote wana ndiyo za kucheza Yanga.
Yanga ndo team ya Wazanzibar
Hao ni Watanzania.Vipi kuhusu wanaotoka Zanzibar?
6 Zambia, Kenya, Uganda, Rwanda
Hawa waswahili kama local players tu. Wana vipaji vya kawaida mno japo hutokea wachache na wengi ndoto zao ni kucheza Tanzania.