Nchi ya Chad inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja kwa dini zote, Nusu ya wanaume wakristo wana mke zaidi ya mmoja, Je ukristo unawabana wanaume?

Labda anataka kuoa wake wengi alafu serikali imutunzie hao wake zake, kama ingekuwa kutunza mwenyewe sidhani kama angelalamikia serikali wakati kwenye ndoa ya serikali Kuna uchaguzi wa ndoa za wake wengi tena bila kutaja idadi, Au mleta mada amechanganya kwenye ajira sehemu ya kujaza taarifa binafsi ambapo ajira karibu zote mwajiri anatambua mke mmoja na watoto wanne pekee wale waliozidi jukumu ni lako lakini bado hawajazuia kuoa wake wengi na kuzaa watoto zaidi ya wanne.
 
Kiuhalisia wanawake ni wengi kuliko wanaume popote pale. Kati ya hawa wanaume kuna: makasisi, mashoga, watoto wa kiume, mabachelor nk. Kundi ambalo lipo kwa ajili ya kuoa ni wachache sana, hivyo hata mie nashauri pia kanisa liangalie uwezekano wa kuruhusu sisi wakristu kuoa mke zaidi ya mmoja. Hata mie sitaki kuchepuka ikiwezekana nikaruhusiwa wake watatu nitafurahi sana. .

Hizi data huwa mnapata wapi??
 
Ifike mahala jamii ikubaliane na uumbaji wa Mwenyezi Mungu na namna alivyomuumba mwanaume.

Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kwa ndoa ya kikristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo wenye mke zaidi ya moja kuliko waislamu.

Nchi kama zetu hizi ndoa za kikristo zipo kwa nadharia zaidi kuliko uhalisia, Mwanaume wa kiafrika kutosheka na mke moja ni nadra sana, ipo ndani enzi hadi enzi hata utamaduni wetu mababu zetu wameoa mke zaidi ya moja, hata kwenye biblia manabii kibao walioa mke zaidi ya moja na kufanya kazi za kinabii kwa baraka zote.

Biblia haijakataza Mwanaume kuoa mke zaidi ya moja ila ni viongozi wa dini za . kikristo wanajitungia mambo na kuyaita sheria za Kanisa, Manabii kibao karibu wote walioa mke zaidi ya mmoja

Matokeo ya hizi ndoa za mke moja michepuko imeshamiri sana ndoa za kikristo, Wanawake hujihisi wapo sawa na waume zao maana mume wake hana ujanja wa kuongeza mke, n.k.

kuna kupotoshana kwamba mwanaume inabidi aoe mke moja ili kutimiza kauli ya "mwili moja", hilo neno halijawahi kumaanisha kwamba mwanaume asioe mke zaidi ya moja.

1 Wakorintho 6:16
Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
Aliyekuzuia kuoa wake wengi nani? Kwa hiyo unawaonea huruma wanaume wenye make mmoja nani aliyekupa kazi hiyo?Je ni kweli wanaume wote wa kiislamu wameoa wanawake wengi?
 
Apataye mke amepata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana.

Zingatia mke sio wake...
Kiswahili kinakupiga chenga.
Leo ukipata mke na baada ya wiki mbili ukampata mke mwingine na kufanya kuwa wawili, je, ile siku ya pili kuoa tutasema umeoa mke au wake?
Au tuseme wewe ni mama wa we watoto 3, je siku uliyojifungua mtoto wa tatu walisema umejifungua watoto?
 
We jamaa ni mdini sana nimekufuatilia af unawaponda sana wakristo ila anyway tuachane nahilo nitud kwenye maada..

Kama mkristo, moja ya vitu nashindwa kabisaa kuelewa ni hil suala la mtu kuoa mke mmoja limetoka wapi??

Jamani kimwil mahitaji tunatofautiana sana mfano mimi binafsi, uhitaji wa kingono kwa wengine uko juu sana sasa hii kubanwa na mke mmoja kwakwel najitahid sana kwakua ndio hivyo tushaoa ila kiukwel mimi nateseka sanaa sana yan.

Af kwenye bible mbona hii kitu haipo..Ukiulizwa utapewa vihoja dhaifu dhaifu kama Donatila hapo juu hivyo vi maandiko alivyo quote..dhaifu mnoooo..Dah..basi..
 
Vipi kuwa na masuria si inawezekana tu. Kwenye kitabu cha Nabii Isaya(nimesahau sura na mstari),imeandikwa "Mwanaume mmoja atajiwa na wanawake saba,nao watamwambia hatuhitaji mali yako,chakula chako wala mavazi yako ila tunataka tuitwe kwa jina lako". Na hivi ndio tunaelekea huko
 
Siku
Acha uzushi hakuna kanisa linalosema hivyo. Kwanza asilimia kubwa ya Chad ni waislamu
Waislamu wote wakioa wake zaidi ya mmoja ndio nitaamini kuwa dini imeagiza hivyo lakini kama wengine wataendelea kuwa na mke mmoja nitashangaa jinsi wasivyotii maagizo ya Mungu wao
 
Wote wabinafsi mbona hamuangalii upande wa pili? Kwanini mwanamke asiwe na mume zaidi ya mmoja? Maana kama ni kuchokana ni wote tukubaliane na mke awe na mume na aruhusiwe wewe ukienda kwa mke wa pili nayeye asilale peke yale aende kwa mume mwimgine ukimwitaji arudi.Apo tutakuwa tumetenda haki.
By the way mimi ni mkristo tena najua biblia vizuri nikweli Mungu hakuzuia kuoa mke zaidi ya mmoja lakini siwezi kuoa mwingine kuepusha msululu wa matarizo maana uyu mmoja tunasumbuana afu niongeze na mwingine si nitalala nitalala darini kama Suleiman aliyekuwa na wake zaidi ya 1000 lakini aliishia kulala darini?
 
Mke mmoja ndio mpango wa Mungu mengine ni uchu tu .Swali LA kujiuliza kwa kutumia akili ya kawaida kwanini Mungu aruhusu mwanaume aoe mke mmoja? ni kwasababu mke ni msaidizi wa mwanaume .
 
Ifike mahala jamii ikubaliane na uumbaji wa Mwenyezi Mungu na namna alivyomuumba mwanaume.

Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kwa ndoa ya kikristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo wenye mke zaidi ya moja kuliko waislamu.

Nchi kama zetu hizi ndoa za kikristo zipo kwa nadharia zaidi kuliko uhalisia, Mwanaume wa kiafrika kutosheka na mke moja ni nadra sana, ipo ndani enzi hadi enzi hata utamaduni wetu mababu zetu wameoa mke zaidi ya moja, hata kwenye biblia manabii kibao walioa mke zaidi ya moja na kufanya kazi za kinabii kwa baraka zote.

Biblia haijakataza Mwanaume kuoa mke zaidi ya moja ila ni viongozi wa dini za . kikristo wanajitungia mambo na kuyaita sheria za Kanisa, Manabii kibao karibu wote walioa mke zaidi ya mmoja

Matokeo ya hizi ndoa za mke moja michepuko imeshamiri sana ndoa za kikristo, Wanawake hujihisi wapo sawa na waume zao maana mume wake hana ujanja wa kuongeza mke, n.k.

kuna kupotoshana kwamba mwanaume inabidi aoe mke moja ili kutimiza kauli ya "mwili moja", hilo neno halijawahi kumaanisha kwamba mwanaume asioe mke zaidi ya moja.

1 Wakorintho 6:16
Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
Akili za hovyo kabisa hizi! Maelezo yako yote yamejikita kuonyesha kuwa lengo la ndoa ni ngono tu. Wala hata huongelei kitu kingine katika ndoa.

Ngoja nikwambie; lengo la Mungu kumuumba mwanamke halikuwa ngono, na primary role ya ndoa sio ngono, ni kupata MSAIDIZI.

Soma Mwanzo 2:18.
"Bwana Mungu akasema; si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."

Kwa hiyo lazima umwangalie mkeo kwanza kama msaidizi na sio kwa muktadha wa ngono
 
Kiuhalisia wanawake ni wengi kuliko wanaume popote pale. Kati ya hawa wanaume kuna: makasisi, mashoga, watoto wa kiume, mabachelor nk. Kundi ambalo lipo kwa ajili ya kuoa ni wachache sana, hivyo hata mie nashauri pia kanisa liangalie uwezekano wa kuruhusu sisi wakristu kuoa mke zaidi ya mmoja. Hata mie sitaki kuchepuka ikiwezekana nikaruhusiwa wake watatu nitafurahi sana. .
Kwan hii sheria ya kuoa mke mmoja ipo kwny biblia au imetungwa na kanisa? Naomb mnielewshe
 
Ifike mahala jamii ikubaliane na uumbaji wa Mwenyezi Mungu na namna alivyomuumba mwanaume.

Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kwa ndoa ya kikristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo wenye mke zaidi ya moja kuliko waislamu.

Nchi kama zetu hizi ndoa za kikristo zipo kwa nadharia zaidi kuliko uhalisia, Mwanaume wa kiafrika kutosheka na mke moja ni nadra sana, ipo ndani enzi hadi enzi hata utamaduni wetu mababu zetu wameoa mke zaidi ya moja, hata kwenye biblia manabii kibao walioa mke zaidi ya moja na kufanya kazi za kinabii kwa baraka zote.

Biblia haijakataza Mwanaume kuoa mke zaidi ya moja ila ni viongozi wa dini za . kikristo wanajitungia mambo na kuyaita sheria za Kanisa, Manabii kibao karibu wote walioa mke zaidi ya mmoja

Matokeo ya hizi ndoa za mke moja michepuko imeshamiri sana ndoa za kikristo, Wanawake hujihisi wapo sawa na waume zao maana mume wake hana ujanja wa kuongeza mke, n.k.

kuna kupotoshana kwamba mwanaume inabidi aoe mke moja ili kutimiza kauli ya "mwili moja", hilo neno halijawahi kumaanisha kwamba mwanaume asioe mke zaidi ya moja.

1 Wakorintho 6:16
Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
Kunukuu maandiko hakukufanyi kuwa mfuasi wa Kristo. Wewe ni wakala wa SHETANI, Amen.
 
Kwa idadi ya wanawake nchini kwa sasa ukisema kila mtu awe na mke mmoja ni kwamba dada zetu watazeekea nyumbani! Nashauri wanaume walazimishwe kuoa zaidi ya mke mmoja kupunguza wimbi la machangudoa nchini!
 
Back
Top Bottom