Kiuhalisia wanawake ni wengi kuliko wanaume popote pale. Kati ya hawa wanaume kuna: makasisi, mashoga, watoto wa kiume, mabachelor nk. Kundi ambalo lipo kwa ajili ya kuoa ni wachache sana, hivyo hata mie nashauri pia kanisa liangalie uwezekano wa kuruhusu sisi wakristu kuoa mke zaidi ya mmoja. Hata mie sitaki kuchepuka ikiwezekana nikaruhusiwa wake watatu nitafurahi sana. .
Aliyekuzuia kuoa wake wengi nani? Kwa hiyo unawaonea huruma wanaume wenye make mmoja nani aliyekupa kazi hiyo?Je ni kweli wanaume wote wa kiislamu wameoa wanawake wengi?Ifike mahala jamii ikubaliane na uumbaji wa Mwenyezi Mungu na namna alivyomuumba mwanaume.
Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kwa ndoa ya kikristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo wenye mke zaidi ya moja kuliko waislamu.
Nchi kama zetu hizi ndoa za kikristo zipo kwa nadharia zaidi kuliko uhalisia, Mwanaume wa kiafrika kutosheka na mke moja ni nadra sana, ipo ndani enzi hadi enzi hata utamaduni wetu mababu zetu wameoa mke zaidi ya moja, hata kwenye biblia manabii kibao walioa mke zaidi ya moja na kufanya kazi za kinabii kwa baraka zote.
Biblia haijakataza Mwanaume kuoa mke zaidi ya moja ila ni viongozi wa dini za . kikristo wanajitungia mambo na kuyaita sheria za Kanisa, Manabii kibao karibu wote walioa mke zaidi ya mmoja
Matokeo ya hizi ndoa za mke moja michepuko imeshamiri sana ndoa za kikristo, Wanawake hujihisi wapo sawa na waume zao maana mume wake hana ujanja wa kuongeza mke, n.k.
kuna kupotoshana kwamba mwanaume inabidi aoe mke moja ili kutimiza kauli ya "mwili moja", hilo neno halijawahi kumaanisha kwamba mwanaume asioe mke zaidi ya moja.
1 Wakorintho 6:16
Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
Kiswahili kinakupiga chenga.Apataye mke amepata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana.
Zingatia mke sio wake...
Yes na sio nchi
Waislamu wote wakioa wake zaidi ya mmoja ndio nitaamini kuwa dini imeagiza hivyo lakini kama wengine wataendelea kuwa na mke mmoja nitashangaa jinsi wasivyotii maagizo ya Mungu waoAcha uzushi hakuna kanisa linalosema hivyo. Kwanza asilimia kubwa ya Chad ni waislamu
Akili za hovyo kabisa hizi! Maelezo yako yote yamejikita kuonyesha kuwa lengo la ndoa ni ngono tu. Wala hata huongelei kitu kingine katika ndoa.Ifike mahala jamii ikubaliane na uumbaji wa Mwenyezi Mungu na namna alivyomuumba mwanaume.
Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kwa ndoa ya kikristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo wenye mke zaidi ya moja kuliko waislamu.
Nchi kama zetu hizi ndoa za kikristo zipo kwa nadharia zaidi kuliko uhalisia, Mwanaume wa kiafrika kutosheka na mke moja ni nadra sana, ipo ndani enzi hadi enzi hata utamaduni wetu mababu zetu wameoa mke zaidi ya moja, hata kwenye biblia manabii kibao walioa mke zaidi ya moja na kufanya kazi za kinabii kwa baraka zote.
Biblia haijakataza Mwanaume kuoa mke zaidi ya moja ila ni viongozi wa dini za . kikristo wanajitungia mambo na kuyaita sheria za Kanisa, Manabii kibao karibu wote walioa mke zaidi ya mmoja
Matokeo ya hizi ndoa za mke moja michepuko imeshamiri sana ndoa za kikristo, Wanawake hujihisi wapo sawa na waume zao maana mume wake hana ujanja wa kuongeza mke, n.k.
kuna kupotoshana kwamba mwanaume inabidi aoe mke moja ili kutimiza kauli ya "mwili moja", hilo neno halijawahi kumaanisha kwamba mwanaume asioe mke zaidi ya moja.
1 Wakorintho 6:16
Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
Kwan hii sheria ya kuoa mke mmoja ipo kwny biblia au imetungwa na kanisa? Naomb mnielewsheKiuhalisia wanawake ni wengi kuliko wanaume popote pale. Kati ya hawa wanaume kuna: makasisi, mashoga, watoto wa kiume, mabachelor nk. Kundi ambalo lipo kwa ajili ya kuoa ni wachache sana, hivyo hata mie nashauri pia kanisa liangalie uwezekano wa kuruhusu sisi wakristu kuoa mke zaidi ya mmoja. Hata mie sitaki kuchepuka ikiwezekana nikaruhusiwa wake watatu nitafurahi sana. .
Kunukuu maandiko hakukufanyi kuwa mfuasi wa Kristo. Wewe ni wakala wa SHETANI, Amen.Ifike mahala jamii ikubaliane na uumbaji wa Mwenyezi Mungu na namna alivyomuumba mwanaume.