Nchi ya kusadakika yenye mfalme juha sababu ni kaptula la marx

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali.

Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa.

Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi.

Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa kuwa simulizi moja.

Tungepata jina la kitabu kina itwa jamhuri ya muungano wa kenge.
 
"Mimi ndiye nastahili kunyongwa, Kwa sababu nimewatendea mema wananchi wangu wa nchi ya kichaa"

"Pesa moja ratli moja"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…