Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
😂🤣Walipenda usingiziDr laban og [emoji23][emoji23]
Laha sana kuwa Dr......tuliwaambia msome ....nyie mliona usingizi mtamu
🤣😂🤣Labda wa uchawiUdokita wa wa mchongo
Saivi mtaan kila mtu dokita dokita
Ukuni muuliza thesis yako inahusu nn hata hajui chochote
If that is the case, kwanini utake Phd za kupewa kama za Msukuma na Samia ziwe na effect wakati unajua ni Urembo tu?Kumbuka hapa JF tupo kama majini, tunatumia majina tunayoona yanafaa kwenda nayo.
Mfano inamankusweke unaweza nambia ndo kazi yake kusweka watu? 😳
Sikuhizi udaktare umegeuka majoho Yale 🤣😂Kijana angalia Sana. Unafatilia PhD zetu na wee jipe
Degree is not a skill is just a manilasheet🤣🤣🤣🤣🪑💺Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k.
Kama ni kwamba wenzetu hao hawana hata udokta wowote lkn wanai-run Dunia, sisi tulio na madokta wengi wasomi kuanzia ngazi ya tawi la chama, taasisi za serikali na sekta binafsi hadi kule ukanda wa bahari karibu na soko la samaki, tunafeli wapi lakini. Hizo Phd's zenu ni za kwenye makaratasi au za kuchongesha tu?...
Tuwekane sawa bhana...
Kusweka watu lupangoKumbuka hapa JF tupo kama majini, tunatumia majina tunayoona yanafaa kwenda nayo.
Mfano inamankusweke unaweza nambia ndo kazi yake kusweka watu? 😳
Yaaah mkuu saizi wanachukia tukijiita na Dr[emoji23][emoji1787]Walipenda usingizi
Walikimbia umande
Walipenda kachori na bajia kuliko masomo[emoji23][emoji1787]
Sasa hivi wanalilia udaktareee
Vilazaaaaaa
Umesoma vibaya.... Ma Dr hatukoseiMsomi rekebisha neno laha = raha.
Sasa kama bongo kazi hakuna.Kuna madokta humu wote wana ndoto za kufanya kazi nchi za nje[emoji23][emoji23][emoji23]unategemea wawe na akili ya kufikiria kwa upana.
Kazi hakuna wakati hawawezi kutumia elimu yao kuunda miradi ..Unafikria kampuni ya Facebook imezalisha ajira ngapi na aliyebuni ndio kazalisha hizo ajira bado kuna twitter.Sasa kama bongo kazi hakuna.
Wafanye nn?