EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Hata mimi Dr Evil Spirit 😈 nimeshangazwa na hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu Dr, hata mimi namalizia masomo yangu nakuwa Dr wa mtaani.
Elimu haijawahi kuwa msaada kwa mtanzania, kwanza mengi anakaririshwa tu.
Na hamwezi kuomba msamaha kwasababu mna PhD lakini familia zenu zinawashindaUmesoma vibaya.... Ma Dr hatukosei
Mkuu sikupingi, ila there's no need to address ourselves to everyone that we're doctors, professors etc, I really don't see the point.Let everyone be educated, within those fake doctors one day might rise the truly one.
Education is very important to every Tanzanian people...
Hata diploma ni elimu pia tatizo ni utilization ya hiyo elimu.Elimu sio uongozi waziri mkuu wa Italia ana diploma Tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Dr salute kwakoHata mimi Dr Evil Spirit [emoji48] nimeshangazwa na hili
Nimeipokea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Dr salute kwako
[emoji3]Nimeipokea
😂🤣Hiki kingereza Cha wapi?Hata diploma ni elimu pia tatizo ni utilization ya hiyo elimu.
Ukiwa born bright small education unaweza itumia effectively ukapata positive huge impacts ila born bogus hata usome phd nothing you can do to bring important impacts instead is egoism.
Tunaulizia zina faida gani kwa jamii?? Au ni za kukoga watu kitaaa??Dr laban og [emoji23][emoji23]
raha sana kuwa Dr......tuliwaambia msome ....nyie mliona usingizi mtamu
Yes, tatizo kubwa ni sifa na wala sio elimu, tatizo limeanza zamani kipindi ambacho mtoto ukisoma kijiji kizima kinaiheshimu familia husika kwakuwa wanamtoto msomi bila kuangalia impact yake kwa Jamii.Mkuu sikupingi, ila there's no need to address ourselves to everyone that we're doctors, professors etc, I really don't see the point...
Mama Spika Tulia wakati wa kampeni za uchaguzi wakosa hoja walimzulia maneno kuwa hamuheshimu Mme wake ndiyo maana haonekani naye hadharani!Kuna bwaana mmoja amewahi kuhoji PhD ya mtu kiongozi mmoja leo yule bwana ajulikani aliko
Kwa kweli, kuna madoctor mchwara tu wasio na impact yoyote kwa taifa wanashindwa hata na wasanii wanaoiletea heshima nchi.Kazi hakuna wakati hawawezi kutumia elimu yao kuunda miradi ..Unafikria kampuni ya Facebook imezalisha ajira ngapi na aliyebuni ndio kazalisha hizo ajira bado kuna twitter.
Waotww TBC pale kupiga porojo yaani chukulia Tangu enzi za zamani mpaka leo hamna kipya ...wakipata nafasi za kufanya kazi nje ndio basi tena.Kwa kweli, kuna madoctor mchwara tu wasio na impact yoyote kwa taifa wanashindwa hata na wasanii wanaoiletea heshima nchi.
Kazi Kipenda kuwa praised.
Na ni useless, creativity zero, advises zero, opinions zero.
Hawa ni madoctor wa UTI tu.
Wanaishia wapi? [emoji1787]...nchi yenye IT Wengi
Phd uchwaraHebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k.
Kama ni kwamba wenzetu hao hawana hata udokta wowote lkn wanai-run Dunia, sisi tulio na madokta wengi wasomi kuanzia ngazi ya tawi la chama, taasisi za serikali na sekta binafsi hadi kule ukanda wa bahari karibu na soko la samaki, tunafeli wapi lakini. Hizo Phd's zenu ni za kwenye makaratasi au za kuchongesha tu?, nchi ina madokta na maprofesa wengi hawajawahi kuwa hata na uvumbuzi wa maana kusaidia nchi yao na wakipewa hata kuendesha taasisi zinawafia Ref. TTCL, ATCL, n.k.
Nchi ina mainjinia wengi lkn hawajawahi kuunda hata gari ndogo km STARLET ikaingia barabarani, kazi zao ni kudesign ramani za majengo tena ile copy & paste mtandaoni huko na hapo ndipo uinjinia wao unaishia.
Tuwekane sawa bhana...
Alafu kuna wimbi kubwa la walimu wasio na uwezo huko vyuoni ,kigezo ni GPA kubwa lkn ukimwangalia uyo mwalimu uwezo wake ni mdogo sana,sasa tutegmee mwanafunzi wa uyu mwalimu atakuaje?nchi hii inaangamia kwasababu hatutaku mabadiliko kwenye sekta nyingi mfano mzuri ni sekta hii ya Elimu ni majanga matupu.Huwa nasikitika sana kila uchao Tanzania ndio inakuwa ni nchi inayozalisha watu wenye uwezo ndogo wakufikiri mashule na huko vyuoni wakisaidiwa na waalimu wao, kupitia serikali
Jamii imejitosheleza mkuu......hakuna matatizo...Sasa unataka ma PhD holders tugundue niniTunaulizia zina faida gani kwa jamii?? Au ni za kukoga watu kitaaa??