Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

ingekuwa ni uwezo wangu, huo udokta na uprofessa ningeufutilia mbali hapa Tanzania. Kungekuwa na shahada au tuzo maalum ya kutambua mchango wa mtu kwa taifa letu. Kavumbua nini au kaanzisha kitu gani ambacho kimeleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watanzania au kimesaidia maisha ya watanzania katika maisha yao ya kila siku.

Madokta na maprofessa zaidi ya kuingia kwenye siasa au kubaki kuwa walimu wa huko vyuoni, hawana msaada wowote wa maana kwenye hili taifa.

Kwanza wao wenyewe wanasema wako jalalani. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kwelii.
 

Nilipata aibu ,sijui alivyorudi amewaambia nn wananchi
 
Nchi inaongozwa na madokta lkn mpaka sasa wakulima wanatumia ndoo kuuzia mazao, wafugaji bado wanafuga kienyeji, hatujawahi kutengeneza hata simu?!
Wakulima wameamua iwe hivyo .....coz kuna trekta za kutosha

Kuhusu kutengeneza simu .....sio muhimu coz tunapata simu nzuri za bei che from china
 
"Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k."
Hawa wanaendesha dunia na uko kwao kuna madokta ulishawasikia
 

Acha nongwa soma na wewe upate yako, kwani ulishindwa nini kusoma au kuchongesha PhD yako? Ni kwa vile tu huna. Tafuta mkate wakowa kila siku kudiscuss PhD za wanaume wenzako ni dalili mbaya.
 
Acha nongwa soma na wewe upate yako, kwani ulishindwa nini kusoma au kuchongesha PhD yako? Ni kwa vile tu huna. Tafuta mkate wakowa kila siku kudiscuss PhD za wanaume wenzako ni dalili mbaya.
Povu la Nini! Nafikiri hujamwelewa.Kama wewe ni Dr huu Uzi ukuamshe kufanya mambo yatakayotatua changamoto kwenye jamii Yako.Wengi tunasoma Huo Udaktari tukafundishe vyuo vikuu basi hakuna la zaidi hasa kutokana na ufinyu wa bajeti.
 
Walioishia fom wamependezwa na mchongo huu
 
Hao madokta wa kule wanalingana na wetu hawa?,
 
Acha nongwa soma na wewe upate yako, kwani ulishindwa nini kusoma au kuchongesha PhD yako? Ni kwa vile tu huna. Tafuta mkate wakowa kila siku kudiscuss PhD za wanaume wenzako ni dalili mbaya.
Sina cha kukujibu mzee baba, nikikujibu itaonekana najipa sifa
 
Nchi ina mainjinia wengi lkn hawajawahi kuunda hata gari ndogo km STARLET ikaingia barabarani, kazi zao ni kudesign ramani za majengo tena ile copy & paste mtandaoni huko na hapo ndipo uinjinia wao unaishia.
UDSM chimbimbuko la 90% ya mainjinia Tanzania, hawajawahi hata kuchonga sahani ya bati au kudesign kitaanda cha mgonjwa
 
Okey. We ulitaka wafanane kivip yaan labda mi sijakuelewa
Hii nchi ina matatizo kiasi gani ambayo yanaweza kutatuliwa na hawa wasomi wetu wengi wanaojiita madokta kupitia elimu zao?
 
Wewe muangalie Dr tulia maneno anayeyaongea alafu piga mahesabu wanafunzi wake aliowafundisha watakuwaje huko uraiani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…