Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

Yule jamaa alikuwa mpuuzi sana. Hv yuko wp nikamtandike viboko
 
kuna jamaa alijua kilaza o-level yani kilaza kabisa, ila leo na yeye ana phD.
Nchi yakijanja sana hii, usipoelewa namna mambo inaenda huku utapata shida kidogo.
 
Ma PhD holders wa tz ukitaka uwajue vizuri, jiandikishe kusoma master's degree pale UDSM. watu Wana roho mbaya Kama vyoo vya kiswahili maeneo ya buguruni.!
Raha Yao waone mwanafunzi amefeli au wamemkamata kwa michongo. Wengi wao midomo zege aidha wanakamata wanafunzi kwenye masomo au ma bar maid.
Nadhani kua na PhD vinaendana na kua Domo zege.
 
Sisi waafrica (ngozi nyeusi) tumeundwa kutawaliwa. Kuna laana fulani hiv tulipewa. Sababu hata kujiongoza wenyewe hatuwezi achilia mbali kuunda vitu.
 
Profesa Majimarefu,Dr shokolokobangoshayo kutoka Sumbawanga.Waliokataa umande wanacheza na taaluma za watu
 

Kuongoza vichaa ni lazima nawe uwe am u act kichaa. Haiwezekani mtu anaiba billions za kujenga soko au barabara halafu anakwenda ifungia hiyo hela ndani, kesho yake anapita ktk barabara mbovu au soko chafu kisha analalamika kuwa serikali haifanyi kazi. Kama sio ukichaa ni nini..
my take:
inawezekana hao tunaowaona ni vichaa mitaani wakawa wazima halafu sisi tunaojiona wazima tukawa ndio vichaa halisi, sema tu idadi yao ni ndogo na yetu ni kubwa [emoji3525][emoji3525]
 
Ushamba umepelekwa mpaka huko nchi za nje,
Hersi kila mahali anajitambulisha kwa kuanza na Engineer wakati yuko kwenye fani ya mpira!
 
Ni umangimeza uchwara na ulimbukeni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…