Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Sub-Saharan Africa na Mashariki ya Kati (Middle East)?

Ujerumani ni superpower ila hawana tabia ya kutumia jeshi kwa karne hii
Kutumia jeshi wanatumia sana mkuu, sema wanavaa nguo za kiraia katika kufanya operations za siri na pale inaposhindikana ndio sasa wanatuma vifaru, mizinga na ndege za kivita.

Mazungumzo ya kidiplomasia yakiwa na ufanisi pia, kunakuwa hakuna haja ya kufanya "overt military operations"

Inaonekana Germans wapo vizuri sana katika suala zima la kufanya mazungumzo kabla ya kutumia nguvu za kivita za wazi wazi.
 
Rais Magufuli ni Mzalendo wa kweli na mpaka sasa hana mpinzani.
 
Burundi nayo inapeleka wanajeshi wake kwenye majeshi ya UN ila ni choka mbaya, hata Tanzania tulipeleka wanajeshi nchi kadhaa. Ujerumani ni superpower ila hawana tabia ya kutumia jeshi kwa karne hii
Unajua maana ya superpower?
 
Wale Mabeberu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Magufuli madini yetu yasingekuwepo.
 
Mkuu ni vile tu Rais Magufuli anatoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi ni 98%.
 
Mkuu, una maana huu mzozo ndio unaoifanya Misri isikubalike sana Sub-Saharan Africa?

Ndio maana inakubalika sana Middle East?

Entailing on diplomacy legacy probably big Yes, know nothing about geographical positions, Misiri ukidistabu Nile Hawana lolote, East Africa ndo roho ya Misri especially Tz maana ndo enye catchment kubwa zinazochangia maji mto Nile,Riparian laws been formed by Great britain to its respectivelly colonies including Tz totaly are an even not fair ; Hivi hizi taratibu haziwezi kuwa reformed aiming kunufaisha mataifa mengine yapitiwayo na hii Nile basin ?
 
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Magufuli ataitupeleka uchumi wa juu.
 
Ccm haiwezi kuiba kura, Rais Magufuli anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha lowasa na huyo msaliti wa Nchi.
 
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October tunampigia kura Magufuli kwa 98% Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania.
 
Nadhani Egypt ana-influence kubwa middle East kulko Africa.
Kwanza Africa kila moja ana zake na hana mda na mwafrica mwenzake tuko bize na China,ufaransa ,USA na Germany kidogo UK

Na yeye misri kwa Africa an a influence kwa siasa za Sudan ,Algeria na Libya. Pia kwenye CAF ndio hapo misri ataenfluence Africa.

Mashariki ya kati misri Ni daraja la mazungumzo kati ya Israeli na Palestinian. Vile vile anauwezo wa kuwaita wa suni waje waihujumu nchi yeyote pale kama wanavyofanya kwa Qatar.

NB
Misr ni nchi ya pili kwa population Africa baada ya Nigeria
Misri ndio nchi ya kwanza kwa population middle east.
 
Kuna kundi la Kiislam kinaloitwaga Muslim Brotherhood, kundi hili limeenea karibu nchi zote Mashariki ya Kati
Kuna baadhi ya nchi zinalikandamiza hasa Misri na Saudi Arabia, na nchi zinazoliunga mkono za Qatar na Turkey
Sasa bifu kubwa Kati ya Turkey na Egypt limeanzia hapa
 
Nchi ya pili kwa idadi ya watu ni Ethiopia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…