Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
mhhh...Kwa hiyo wewe ili nchi iwe na ushawishi ni lazima iwe na ubishi na ugomvi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhhh...Kwa hiyo wewe ili nchi iwe na ushawishi ni lazima iwe na ubishi na ugomvi.
Doooh...Kwa hali hii utakuwa unaishabikia Uturuki ambayo kila penye ugomvi inataka iwepo.
Ujerumani ilipeleka askari wake (Bundeswehr) Afganistan kupambana na Taliban.Ujerumani ina ushawishi, je inagombana na nani.
Burundi nayo inapeleka wanajeshi wake kwenye majeshi ya UN ila ni choka mbaya, hata Tanzania tulipeleka wanajeshi nchi kadhaa. Ujerumani ni superpower ila hawana tabia ya kutumia jeshi kwa karne hiiUjerumani ilipeleka askari wake (Bundeswehr) Afganistan kupambana na Taliban.
Sawa...Burundi nayo inapeleka wanajeshi wake kwenye majeshi ya UN ila ni choka mbaya, hata Tanzania tulipeleka wanajeshi nchi kadhaa.
Kutumia jeshi wanatumia sana mkuu, sema wanavaa nguo za kiraia katika kufanya operations za siri na pale inaposhindikana ndio sasa wanatuma vifaru, mizinga na ndege za kivita.Ujerumani ni superpower ila hawana tabia ya kutumia jeshi kwa karne hii
Rais Magufuli ni Mzalendo wa kweli na mpaka sasa hana mpinzani.View attachment 1591259
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Africa na mashariki ya kati (Middle East)?
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Saddam Hussein pamoja na Yasser Arafat.
View attachment 1591183
Officially the Arab Republic of Egypt is both (North) African and Middle Eastern. Its Sinai Peninsula acts as a land bridge in Southwest Asia. This makes Egypt a transcontinental country.
Egypt has 99,375,741 million people, making it one of Africa's most populous nations. Egypt, A Mediterranean Middle Eastern transcontinental country located in North Africa and West Asia.
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na mzee Madiba.
View attachment 1591184
It doesn't contradict each other. Egyptians consider themselves just…Egyptian. Nothing more nothing less. This Pan Africanism illusion only exists outside of Africa. African is just a geographical term.
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Waziri mkuu wa Israel.
View attachment 1591185
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Unajua maana ya superpower?Burundi nayo inapeleka wanajeshi wake kwenye majeshi ya UN ila ni choka mbaya, hata Tanzania tulipeleka wanajeshi nchi kadhaa. Ujerumani ni superpower ila hawana tabia ya kutumia jeshi kwa karne hii
Wale Mabeberu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Magufuli madini yetu yasingekuwepo.View attachment 1591259
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Africa na mashariki ya kati (Middle East)?
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Saddam Hussein pamoja na Yasser Arafat.
View attachment 1591183
Officially the Arab Republic of Egypt is both (North) African and Middle Eastern. Its Sinai Peninsula acts as a land bridge in Southwest Asia. This makes Egypt a transcontinental country.
Egypt has 99,375,741 million people, making it one of Africa's most populous nations. Egypt, A Mediterranean Middle Eastern transcontinental country located in North Africa and West Asia.
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na mzee Madiba.
View attachment 1591184
It doesn't contradict each other. Egyptians consider themselves just…Egyptian. Nothing more nothing less. This Pan Africanism illusion only exists outside of Africa. African is just a geographical term.
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Waziri mkuu wa Israel.
View attachment 1591185
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mkuu ni vile tu Rais Magufuli anatoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi ni 98%.View attachment 1591259
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Africa na mashariki ya kati (Middle East)?
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Saddam Hussein pamoja na Yasser Arafat.
View attachment 1591183
Officially the Arab Republic of Egypt is both (North) African and Middle Eastern. Its Sinai Peninsula acts as a land bridge in Southwest Asia. This makes Egypt a transcontinental country.
Egypt has 99,375,741 million people, making it one of Africa's most populous nations. Egypt, A Mediterranean Middle Eastern transcontinental country located in North Africa and West Asia.
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na mzee Madiba.
View attachment 1591184
It doesn't contradict each other. Egyptians consider themselves just…Egyptian. Nothing more nothing less. This Pan Africanism illusion only exists outside of Africa. African is just a geographical term.
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Waziri mkuu wa Israel.
View attachment 1591185
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mkuu, una maana huu mzozo ndio unaoifanya Misri isikubalike sana Sub-Saharan Africa?
Ndio maana inakubalika sana Middle East?
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Magufuli ataitupeleka uchumi wa juu.View attachment 1591259
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Africa na mashariki ya kati (Middle East)?
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Saddam Hussein pamoja na Yasser Arafat.
View attachment 1591183
Officially the Arab Republic of Egypt is both (North) African and Middle Eastern. Its Sinai Peninsula acts as a land bridge in Southwest Asia. This makes Egypt a transcontinental country.
Egypt has 99,375,741 million people, making it one of Africa's most populous nations. Egypt, A Mediterranean Middle Eastern transcontinental country located in North Africa and West Asia.
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na mzee Madiba.
View attachment 1591184
It doesn't contradict each other. Egyptians consider themselves just…Egyptian. Nothing more nothing less. This Pan Africanism illusion only exists outside of Africa. African is just a geographical term.
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Waziri mkuu wa Israel.
View attachment 1591185
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ccm haiwezi kuiba kura, Rais Magufuli anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha lowasa na huyo msaliti wa Nchi.View attachment 1591259
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Africa na mashariki ya kati (Middle East)?
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Saddam Hussein pamoja na Yasser Arafat.
View attachment 1591183
Officially the Arab Republic of Egypt is both (North) African and Middle Eastern. Its Sinai Peninsula acts as a land bridge in Southwest Asia. This makes Egypt a transcontinental country.
Egypt has 99,375,741 million people, making it one of Africa's most populous nations. Egypt, A Mediterranean Middle Eastern transcontinental country located in North Africa and West Asia.
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na mzee Madiba.
View attachment 1591184
It doesn't contradict each other. Egyptians consider themselves just…Egyptian. Nothing more nothing less. This Pan Africanism illusion only exists outside of Africa. African is just a geographical term.
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Waziri mkuu wa Israel.
View attachment 1591185
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October tunampigia kura Magufuli kwa 98% Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania.View attachment 1591259
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Africa na mashariki ya kati (Middle East)?
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Saddam Hussein pamoja na Yasser Arafat.
View attachment 1591183
Officially the Arab Republic of Egypt is both (North) African and Middle Eastern. Its Sinai Peninsula acts as a land bridge in Southwest Asia. This makes Egypt a transcontinental country.
Egypt has 99,375,741 million people, making it one of Africa's most populous nations. Egypt, A Mediterranean Middle Eastern transcontinental country located in North Africa and West Asia.
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na mzee Madiba.
View attachment 1591184
It doesn't contradict each other. Egyptians consider themselves just…Egyptian. Nothing more nothing less. This Pan Africanism illusion only exists outside of Africa. African is just a geographical term.
Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Waziri mkuu wa Israel.
View attachment 1591185
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa mkuu...Entailing on diplomacy legacy probably big Yes, know nothing about geographical positions,
Kuna kundi la Kiislam kinaloitwaga Muslim Brotherhood, kundi hili limeenea karibu nchi zote Mashariki ya KatiKwanza kabisa Cha kukumbuka hapo ni kwamba hao no mbwa wa bwana mkubwa US. Licha ya hivyo so mwiko wao kugombana.. ni Kama ilivyo uhusiano wa turkey-france na Turkey-Greece...
Wote hawapendani but kwa kiasi kikubwa huitikia kauli kutoka Washington japo so Mara zote..
Turudi Misri imekuwa ikipinga expansionism ya mfano wa kinazi unaofanywa na Turkey Hasa lengo likiwa restoration the status of the Roman Empire! Na ukicheki Misri ni moja ya state za awali zilizounda Ottoman. Syria , Libya na Iraq tayari zishadondokea kw Turkey.. hivyo Basi Egypt anapambana na threat ya kuwa koloni la sultan Edogan na ndoto yake ya the great Ottoman Empire
Sawa mkuu...Kuna kundi la Kiislam kinaloitwaga Muslim Brotherhood, kundi hili limeenea karibu nchi zote Mashariki ya Kati
Madhara ya kupigwa mande huwa hayajifichi, na haya ndio madhara yakeWale Mabeberu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Magufuli madini yetu yasingekuwepo.
Nchi ya pili kwa idadi ya watu ni EthiopiaNadhani Egypt ana-influence kubwa middle East kulko Africa.
Kwanza Africa kila moja ana zake na hana mda na mwafrica mwenzake tuko bize na China,ufaransa ,USA na Germany kidogo UK
Na yeye misri kwa Africa an a influence kwa siasa za Sudan ,Algeria na Libya. Pia kwenye CAF ndio hapo misri ataenfluence Africa.
Mashariki ya kati misri Ni daraja la mazungumzo kati ya Israeli na Palestinian. Vile vile anauwezo wa kuwaita wa suni waje waihujumu nchi yeyote pale kama wanavyofanya kwa Qatar.
NB
Misr ni nchi ya pili kwa population Africa baada ya Nigeria
Misri ndio nchi ya kwanza kwa population middle east.