Nchi ya Rushwa hii, Nchi ya kitu kidogo hii, hata Hormuz ikifunguliwa mafuta yaka flow kawaida bei ya Mafuta hapa Tz haitashuka

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Mtakuja kuniambia. Time will tell! Nchi hii ya kijambazi, majizi , wala Rushwa hata Hormuz ikifunguliwa to 100 % functional to let tankers sail through, na bei ya dunia ikashukakuwa kama mwanzo, HAPA BEI YA MAFUTA HAITASHUKA.

Akina Msoga and Co. Ltd, ndipo sasa wanakuwa trillionaires!
 
Yani hili limama litatuacha na bei ya 4000/Lt dah Mungu ingilia kati watu wabaya hawa wanalitesa taifa.
 
Mtakuja kuniambia. Time will tell! Nchi hii ya kijambazi, majizi , wala Rushwa hata Hormuz ikifunguliwa to 100 % functional to let tankers sail through, na bei ya dunia ikashukakuwa kama mwanzo, HAPA BEI YA MAFUTA HAITASHUKA.

Akina Msoga and Co. Ltd, ndipo sasa wanakuwa trillionaires!
 
Nikupanda Tu Suala Na Kushuka Sahauni Tanzania
 
Back
Top Bottom