K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 Sep 6, 2026 #1 Marafiki zangu ambao wana kampuni za ujenzi wanasema kila kampuni ninlazima zitoe 10% kwenye kila mradi. Lakini pesa ikichelewa kuna riba🤦🏾♂️ Umasikini na wetu ni huu uongozi fake unaleta
Marafiki zangu ambao wana kampuni za ujenzi wanasema kila kampuni ninlazima zitoe 10% kwenye kila mradi. Lakini pesa ikichelewa kuna riba🤦🏾♂️ Umasikini na wetu ni huu uongozi fake unaleta
baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,971 Reaction score 18,641 Sep 6, 2026 #2 Ni kweli wana % zao inatokana na ukubwa wa mradi