Nchi ya Tanzania ina wananchi wenye udumavu wa akili

Hata kama hao watafiti wanasema uongo, infact in real life situation ya huku ground ,raia hatuna reasoning na critical thinking. Mambo mengi ya hovyo tumeyafanya kuwa sehemu ya maisha yetu.
 
Umasikini, uijinga, tamaa, ubinafsi wa toka enzi za mababu, uroho wa madaraka ndizo sababu mkuu na kubwa zaidi ni mamlaka waliyonayo hao viongozi.
 
Ila mkuu wew unahakili sana taifa hili, hebu tuambie wewe kama mwenye hakili umechukua hatua gan au umepanga nin kuhusu hao wendawazmu, au na wew ndo walewale??
 
..ni angalizo tu hasa kwa wamama wa kikristo hata wanaume pia wanaoruhusu wake zao na Mama zao kuvaa nguo zenye picha ya mtu..hivi mnajua hizo nguo zenye hiyo picha zimetamkiwa nini? Wanawake wengi wanasumbuliwa na mapepo na majini kwa kujitakia wao wenyewe..! Endeleeni sababu mmeamua kuwa wapumbavu kwa gharama ya sh. 5,000 siku majini uliyoyafuata mwenyewe yakitaka uhai wako au wa mtoto wako ndio akili itawasogea!
 
Mimi sina hakili Nina akili.
Kuonyesha kuwa nina akili ni kwamba sitahusika wala kuthubutu kukimbilia fursa yoyote ile ya kilaghai kuelekea uchaguzi mkuu.
 
..ni angalizo tu hasa kwa wamama wa kikristo hata wanaume pia wanaoruhusu wake zao na Mama zao kuvaa nguo zenye picha ya mtu..hivi mnajua hizo nguo zenye hiyo picha zimetamkiwa nini? Wanawake wengi wanasumbuliwa na mapepo na majini kwa kujitakia wao wenyewe..! Endeleeni sababu mmeamua kuwa wapumbavu kwa gharama ya sh. 5,000 siku majini uliyoyafuata mwenyewe yakitaka uhai wako au wa mtoto wako ndio akili itawasogea!
Weka ushahd wa picha ya hayo mapepo, waamin usemacho ni kwel
 
Back
Top Bottom