#COVID19 Nchi ya Ushelisheli (Seychelles) yakumbwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa covid-19 pamoja na kuchanja asilimia 60 ya raia wake

Inawezekana wamechanjwa halafu hawachukui tahadhari kilasiku wanabugiatu virusi vya covid 19
 
...........................hadi umetoka nje ya mstari.........

Hapana sijatoka nje ya mstari. Hapo juu kwenye statistics za Seycheles umesema kuwa walikuwa fully vaccinated[ dose 3]. Sasa ndio hapo ulitakiwa useme walitumia vaccine aina gani ; kwani kupata full dose ya Moderna ni chanjo 2; full dose ya Pfizer ni chanjo 2 na Johnson & Johnson ni chanjo 1! Sasa ni vaccine gani hiyo ya full dose chanjo 3?
 
Mm ninachokataa ni hio vaccine ya mchina kwani hizo zote ulizotaja kuna ya mchina hata moja hapo?



Hayo mengine ni wewe mwenyewe mimi nipo hapo kwa mchina
 
Mm ninachokataa ni hio vaccine ya mchina kwani hizo zote ulizotaja kuna ya mchina hata moja hapo

Jibu swali ni vaccine gani full dose ni chanjo 3? Hiyo unayong'ang'ania ya Mchina full dose ni chanjo ngapi kama unaijua?
 
Jibu swali ni vaccine gani full dose ni chanjo 3? Hiyo unayong'ang'ania ya Mchina full dose ni chanjo ngapi kama unaijua?
Hapa naona kipa.hayupo na beki zipo likizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…