mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Covid21
Subiri na mama yenu hawaletee balaa lingine la covid 20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri na mama yenu hawaletee balaa lingine la covid 20
Eee MUNGU ninakushukuru kwakuwa hata Sasa unaeendelea kutupigania
...........................hadi umetoka nje ya mstari.........
Mm ninachokataa ni hio vaccine ya mchina kwani hizo zote ulizotaja kuna ya mchina hata moja hapo?Hapana sijatoka nje ya mstari. Hapo juu kwenye statistics za Seycheles umesema kuwa walikuwa fully vaccinated[ dose 3]. Sasa ndio hapo ulitakiwa useme walitumia vaccine aina gani ; kwani kupata full dose ya Moderna ni chanjo 2; full dose ya Pfizer ni chanjo 2 na Johnson & Johnson ni chanjo 1! Sasa ni vaccine gani hiyo ya full dose chanjo 3?
Mm ninachokataa ni hio vaccine ya mchina kwani hizo zote ulizotaja kuna ya mchina hata moja hapo
Rudi hapa acha kurukArukaFanya uchunguzi wa vaccine waliotumia; inawezekana walitumia vaccine ya KICHINA!!!
Hapa naona kipa.hayupo na beki zipo likizoJibu swali ni vaccine gani full dose ni chanjo 3? Hiyo unayong'ang'ania ya Mchina full dose ni chanjo ngapi kama unaijua?