Nchi ya Usi aliyoishi Nabii Ayubu ilikuwa ipo eneo gani hapa Afrika?

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,255
Wasalaam wana Intelligence,

Katika kitabu cha Ayubu 30: anasema "ngozi yangu ni nyeusi ila yanitoka" mstari huu unatupa picha kuwa Nabii Ayubu alikuwa ni mweusi bila shaka hata watu wa nchi hiyo aliyoishi Ayubu walikuwa ni weusi!

Swali nchi hiyo ya Usi aliyoishi Ayubu ilikuwa eneo hapa Afrika?
 
Kwani hakuna watu weusi Ulaya!?

Kwa kifupi nchi nyingi zilizotajwa kwenye biblia ziko around mashariki ya kati.Kwa Afrika ni Misri tu na kidogo sana uhabeshi pale.
 
Tafti zinasema nchi ya usi ni eneo ambalo lilikaliwa na edom (uzao wa esau) ambalo kwa sasa ni eneo lililo kusini mwa nchi ya israel na kusini magharbi mwa nchi ya jordan...
Inasemekana kitabu cha Ayubu kiliandikwa na Mussa na hvyo kwa mpangilio kilitakiwa kifate baada ya kitabu cha Mwanzo
the-land-of-uz-map.jpg
 
View attachment 648241
hiyo nadharia ya kuwa kiliandikwa na Musa imeshapingwa na watafiti hivi karibuni
 
Tafti zinasema nchi ya usi ni eneo ambalo lilikaliwa na edom (uzao wa esau) ambalo kwa sasa ni eneo lililo kusini mwa nchi ya israel na kusini magharbi mwa nchi ya jordan...
Inasemekana kitabu cha Ayubu kiliandikwa na Mussa na hvyo kwa mpangilio kilitakiwa kifate baada ya kitabu cha Mwanzo
View attachment 648241
Mmmmh hyo ramani!! Sheba ipo middle East??? Kivp ssa hakuna race ya watu weusi uarabuni hata leo???
 
Wasalaam wana Intelligence,

Katika kitabu cha Ayubu 30: anasema "ngozi yangu ni nyeusi ila yanitoka" mstari huu unatupa picha kuwa Nabii Ayubu alikuwa ni mweusi bila shaka hata watu wa nchi hiyo aliyoishi Ayubu walikuwa ni weusi!

Swali nchi hiyo ya Usi aliyoishi Ayubu ilikuwa eneo hapa Afrika?
Weusi wa ngozi wa Ayubu nadhani ni kwa sababu alipata mtihani wa kuugua ugonjwa wa ngozi.
 
Kumbuka anasema "ngozi yangu ni nyeusi ila yanitoka"

Weusi ulimtoka alipoanza kuugua, ila alikuwa ni mweusi.
 
Sheba ilikuwa Yemen japo ilikuwa ikitawaliwa na Waethiopia
Ok nashukuru kwa taarifa ila je kma ethiopia ilikua na watu weusi je waliondoka lini?? Kma hawakuondoka je bado kuna watu weusi Yemen???
 
Ethiopia bado ni weusi au tuseme ni kama wasomali. Yemen ni waarabu japo kuna watu weusi pia. Kumbuka zamani dola ya Axum iliyokuwa Ethiopia ilikuwa ni falme kubwa na maarufu yenye nguvu ambayo siyo tu ilitawala Ethiopia (au Abbsinia) yalipokuwa makao yake makuu bali pia ilitawala hadi sehemu za Yemen na Arabia kama Makkah n.k ndiyo maana hata wakati wa mtume watu wa Makkah waliishi kwa wasi wasi wa kuvamiwa na Wahabeshi (Waethiopia) walikuwa na jeshi lao la Tembo

Al-Akhdam - Wikipedia

Yemen's 'Muwaladeen': The struggle for equal citizenship

The untouchables: Yemen's Marginalised forgotten in the war

Kingdom of Aksum - Wikipedia

Year of the Elephant - Wikipedia
 
Duh ahsante kwa darasa sikuwahi fikiria hyo kingdom ili stretch mpaka middle east hadi kuwa tishio..... Big up mkuu
 
Ngozi nyeusi alimaanisha kuwa amekuwa mweusi baada ya kuchafuka kwa majipu aliyopewa.
 
Back
Top Bottom