Nchi ya Usi aliyoishi Nabii Ayubu ilikuwa ipo eneo gani hapa Afrika?

Nchi ya Usi aliyoishi Nabii Ayubu ilikuwa ipo eneo gani hapa Afrika?

Sana tu mkuu dah mpaka leo najiuliza kipi kimetufanya tuwe dhaif
Udhaifu uliosababishwa na kukata tamaa juu ya wavamizi waliofanikiwa kuanza kuyatawala maeneo mbali mbali. Kuna ambao hawakukubali lakini walipokamatwa wale viongozi chachu na kuuliwa/ kunyongwa na kupigwa risasi mbele ya umma ile nguvu ya umoja na kujiamini ikaanza kuyeyuka na kukubaliana na hali ya kutawaliwa mpaka sasa.
 
Kwani hakuna watu weusi Ulaya!?

Kwa kifupi nchi nyingi zilizotajwa kwenye biblia ziko around mashariki ya kati.Kwa Afrika ni Misri tu na kidogo sana uhabeshi pale.
Hata Ethiopia imetajwa kwenye Bibilia..soma historia ya Mussa alipokibilia na mke wake alikuwa muethiopia... Na ukiangalia vizuri hata Paulo alishawahi kufika na kuhubiri Ethiopia...(nani ajuae hata Yesu huenda alifika Tanzania tena mwanza kwa wasukuma)
 
Fact zipo hapa kwenye tafsiri: Kwenye New King James Version Job 30:30 inasomeka hivi "My skin grows black and falls from me; my bones burn with fever." Kwenye Amplified Bible inasomeka hivi "My skin falls from me in blackened flakes, and my bones are burned with heat." Kwa kifupi aya hii haionyeshi kuwa Ayubu alikuwa mtu mweusi bali ngozi yake ilibadilika kuwa nyeusi kama matokeo ya ugonjwa ndani ya mwili wake.
 
Nimesoma michango ya wenzangu na naungana nao; mawazo yangu kuhusu hi nchi ya USI ni haya; Usi, Midian nk yalikua kwanza ni majina ya watoto wa Ibrahimu alio zaa na Ketura baada ya mkewe Sara kufariki; kule alikokimbilia nabii Musa baada ya kutofautiana na Farao wa Misri ni Midian na wote hao ni wanae Ibrahimu. Sina hakika ni wapi but akili yangu inanituma huenda ilikua ni pale pale mashariki ya kati, sidhani kama ilikua Africa. Kuna mdau mmoja hapo juu kadokeza kuhusu rangi hiyo ya weusi ya Ayubu kua ilitokana na aina ya ugonjwa wa majipu aliokua nayo. Bado siamini kama Ayubu alikua mweusi, watu weusi tunatokana na mtoto wa nabii Nuhu aitwaye HAMU, huyu ndiye aliye zaa Kaanani na Kushi, Ibrahimu ambayo ndiye chanzo cha hilo jina la mtoto Usi na baadae taifa au nchi ya USI uzao wake root yake ipo kwa Japhet au Yafeti kwa Kiswahili.
 
Wasalaam wana Intelligence,

Katika kitabu cha Ayubu 30: anasema "ngozi yangu ni nyeusi ila yanitoka" mstari huu unatupa picha kuwa Nabii Ayubu alikuwa ni mweusi bila shaka hata watu wa nchi hiyo aliyoishi Ayubu walikuwa ni weusi!

Swali nchi hiyo ya Usi aliyoishi Ayubu ilikuwa eneo hapa Afrika?
Iraq
 
Wasalaam wana Intelligence,

Katika kitabu cha Ayubu 30: anasema "ngozi yangu ni nyeusi ila yanitoka" mstari huu unatupa picha kuwa Nabii Ayubu alikuwa ni mweusi bila shaka hata watu wa nchi hiyo aliyoishi Ayubu walikuwa ni weusi!

Swali nchi hiyo ya Usi aliyoishi Ayubu ilikuwa eneo hapa Afrika?
The Land of Uz ( Hebrew : ארץ עוץ ) is a location mentioned in the Old Testament , most prominently in the Book of Job , which begins, "There was a man in the land of Uz, whose name was Job ". [1] Scholarly consensus has not identified any actual country which corresponds to Uz.
According to the Dead Sea document, The War Scroll, the land of Uz is mentioned as existing somewhere beyond the Euphrates possibly in relation to Aram. In Column 2 verse 11, it is noted, "they shall fight against the rest of the sons of Aramea: Uz, Hul, Togar, and Mesha, who are beyond the Euphrates."
Uz is sometimes identified with the kingdom of
Edom , roughly in the area of modern-day southwestern Jordan and southern Israel . [2]
Lamentations 4:21 reads: "Rejoice and be glad, O daughter of Edom, that dwellest in the land of Uz." Other locations proposed for Uz include more southern Arabia , especially Dhofar , said to be the home of the original Arabs; [3] Bashan in modern-day southern Syria /western Jordan;
Arabia east of Petra, Jordan; [4] and even modern-day Uzbekistan .
 
hiyo nadharia ya kuwa kiliandikwa na Musa imeshapingwa na watafiti hivi karibuni
Yeah maana nakumbuka kuwahi kufundishwa sunday school kuwa Mussa aliandika vitabu vitano tu katika biblia na kitabu cha Ayubu hakikuwa included
Cc. ArieN
 
Asili ya watu weusi ni Kushi, tukisoma kitabu cha mwanzo habari za Nuhu baada ya gharika alikuwa na wanaye ham, shem na yafethi, mmojawapo kati ya hao alilaaniwa na baba yake ngozi yake ikageuka kuwa nyeusi, huyo ndiye Kushi/baba wa w@tu wote weusi
 
daaahh jamaa kaleta swali lkn akiwa na uhakika uwenda bwana ayubu alikua anaishi africa.....lkn waafrika wamekuja nakuanza kupingaaa.....SO FUnny
 
kinachochangia sintofahamu pale middle east ni kitendo cha wayahudi kuondoka wakiwa weusi tii lakini wakarudi weupe, sasa wale wenyeji wanashangaa sana metamorphism gan walitumia kuwa weupe?
Wayahudi bado wapo uhamishoni, wamesambaa sehem mbalimbali duniani, wale waliorudi kuunda taifa la israel miaka ya 1948 hv sijui wale sio waIsrael
 
Back
Top Bottom