Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani umejibu vizuri sana, big up.Tafti zinasema nchi ya usi ni eneo ambalo lilikaliwa na edom (uzao wa esau) ambalo kwa sasa ni eneo lililo kusini mwa nchi ya israel na kusini magharbi mwa nchi ya jordan...
Inasemekana kitabu cha Ayubu kiliandikwa na Mussa na hvyo kwa mpangilio kilitakiwa kifate baada ya kitabu cha Mwanzo
View attachment 648241
Hapana, ukisoma kitabu cha Yoshua utagundua Waisrael hawakuwaua wote, yaani Wakaanani, Wahiti, Wahivi nk; kuna trick moja walichezewa na hao wenyeji na Israel ikajikuta imesainiana nao mkataba wa AMANI na kwasababu waisrael walikua wana heshimu sana viapo then hawakuwaua tena, so bado wapo.Inamaana Wisraeli waliuwa wakaanani wote ambao ni weusi ili kuichukua kaanani?.......
Musa kaandika vitabu vingi, wengi wanavijua hivyo 5 kwa maana ya Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Walawi, Hesabu na Kumbukumbu la Torati but again Ayubu, baadhi ya sura za Zaburi hasa kuanzia sura ya 89 hadi 92 ule pia ni mkono wa Musa.Yeah maana nakumbuka kuwahi kufundishwa sunday school kuwa Mussa aliandika vitabu vitano tu katika biblia na kitabu cha Ayubu hakikuwa included
Cc. ArieN
Basi kama hawakuwaua kwa sababu ya mkataba wa AMANI waisraeli hawakuwa na haki ya kuzungumzia 100% ya kaanani kama wao ndio haswa..... Basi Ayubu alikuwa Mweusi na Musa hakuandika zaburi bali zaburi ilitoka kwa Mfalme Daudi kupitia mapokeo ya neno lililopita kusifu ufalme wake kwa mfalme wa kweli ajaye........ Mpiga mbinje mjini hutazamwa na wengi....NOt sure kama nimejibu swali lako.
Ndo ilivyokuwa mkuu sema watu wanapenda kulazimisha mambo,ukisoma huo mstari pekee utadanganyika lkn ukisoma yote utagundua baada ya mapigo alichakaa na ngozi ikafifia ikaharibika sababu ya dhikiWeusi wa ngozi wa Ayubu nadhani ni kwa sababu alipata mtihani wa kuugua ugonjwa wa ngozi.
Walirudi wakiwa weupe peekinachochangia sintofahamu pale middle east ni kitendo cha wayahudi kuondoka wakiwa weusi tii lakini wakarudi weupe, sasa wale wenyeji wanashangaa sana metamorphism gan walitumia kuwa weupe?
Kuna majitu huwa hayana akili...sasa hapa linaona limechangia!!!!??!!Si ndo yule ayubu wa Kakonko kigoma??
Wasalaam wana Intelligence,
Katika kitabu cha Ayubu 30: anasema "ngozi yangu ni nyeusi ila yanitoka" mstari huu unatupa picha kuwa Nabii Ayubu alikuwa ni mweusi bila shaka hata watu wa nchi hiyo aliyoishi Ayubu walikuwa ni weusi!
Kwa kiasi kikubwa Biblia imezungumzia maeneo ya Mahariki ya kati kwa Ulaya imegusia kidogo nchi ya Ugiriki
Na wewe unaona umechangia hapo???Kuna majitu huwa hayana akili...sasa hapa linaona limechangia!!!!??!!
Kwenye hili la mwandishi wa Zaburi wala lisikusumbue, Biblia karibu zote zimeonesha mwandishi wa sura husika, mfano kuanzia Zaburi ya kwanza hadi karibu ya 60 kule ni kweli mwandishi ni Daudi, mfano ile zaburi ya 51 ni TOBA ya Daudi baada ya kuzini na mke wa moja kati ya wana jeshi wake na kumpa mimba na pia kumfanyia fitina hadi mwana jeshi yule akauawa, hiyo aliiandika mwenyewe. Well, kabla hujaanza kuzisoma hizo Zaburi, mwanzoni hua wameweka jina la mwandishi; kwa ufupi kitabu cha Zaburi kimeandikwa na waandishi wengi including Musa, wana wa Asafu (wale waliokua viongozi wa nyimbo Enzi za mfalme Daudi na Sulemani) na Sulemani pia ana mkono wake kwenye hicho kitabu.Basi kama hawakuwaua kwa sababu ya mkataba wa AMANI waisraeli hawakuwa na haki ya kuzungumzia 100% ya kaanani kama wao ndio haswa..... Basi Ayubu alikuwa Mweusi na Musa hakuandika zaburi bali zaburi ilitoka kwa Mfalme Daudi kupitia mapokeo ya neno lililopita kusifu ufalme wake kwa mfalme wa kweli ajaye........ Mpiga mbinje mjini hutazamwa na wengi....
Weusi anamaanisha kufubaa sababu ya ugonjwa wa ngozi. Pia ukisoma kitabu cha Wimbo ulio bora 1:6, anasema wazi alipigwa na jua huko mashambani ndiyo akawa mweusi.Kumbuka anasema "ngozi yangu ni nyeusi ila yanitoka"
Weusi ulimtoka alipoanza kuugua, ila alikuwa ni mweusi.
hakika!Yeah maana nakumbuka kuwahi kufundishwa sunday school kuwa Mussa aliandika vitabu vitano tu katika biblia na kitabu cha Ayubu hakikuwa included
Cc. ArieN
Kwa hiyo watu weusi wametokana na kupigwa na jua?Weusi anamaanisha kufubaa sababu ya ugonjwa wa ngozi. Pia ukisoma kitabu cha Wimbo ulio bora 1:6, anasema wazi alipigwa na jua huko mashambani ndiyo akawa mweusi.
bali zaburi ilitoka kwa Mfalme Daudi kupitia mapokeo ya neno lililopita kusifu ufalme wake kwa mfalme wa kweli ajaye..... Sulemani ameandika zaburi ya ngapi?.....kwa ufupi kitabu cha Zaburi kimeandikwa na waandishi wengi including Musa, wana wa Asafu (wale waliokua viongozi wa nyimbo Enzi za mfalme Daudi na Sulemani) na Sulemani pia ana mkono wake kwenye hicho kitabu.