Nchi ya Usi aliyoishi Nabii Ayubu ilikuwa ipo eneo gani hapa Afrika?

Asili ya watu weusi ni Kushi, tukisoma kitabu cha mwanzo habari za Nuhu baada ya gharika alikuwa na wanaye ham, shem na yafethi, mmojawapo kati ya hao alilaaniwa na baba yake ngozi yake ikageuka kuwa nyeusi, huyo ndiye Kushi/baba wa w@tu wote weusi
yani nmecheka kwa nguvu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti Baba wa Watoto wote weusi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo nilikuwa nazungumzia asili ya watu weusi kibiblia, mbona hata elimu ya darasani inasema binadamu wote walikuwa sokwe hapo kabla, ila bible inasema tuliumbwa na Mungu, basi baba yetu watu weusi ni sokwe hapo vipi? [emoji23] [emoji23]
 
Baba yetu analaana ya kuuona uchi wa babaye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asili ya watu weusi ni Kushi, tukisoma kitabu cha mwanzo habari za Nuhu baada ya gharika alikuwa na wanaye ham, shem na yafethi, mmojawapo kati ya hao alilaaniwa na baba yake ngozi yake ikageuka kuwa nyeusi, huyo ndiye Kushi/baba wa w@tu wote weusi
Hizo ni propaganda ***** mbona kabla ya mzungu Kuja tulikua tumeendelea tu hatuna stress
 
Hamu mtoto wa pili wa Nuhu ndio baba wa weusi lakini ukitoa Negroes (Niggers au wabantu)... Hapo utagundua, watoto wa Ham (wamisri, walibya, waethiopia (kushites) na wakanaani ni weusi lkn sio Negroes (wabantu). Kuna ramani za zamani zinaonesha eneo la West Afrika liliitwa Negroland au Bantuland. Ndio maana ya haya majina ya Niger na Nigeria (walikaa niggers/negroes/bantus baada ya kuhamishwa Samaria na Yudea- Israel kwa vita kali toka kwa Assyrians na Babylonians). Sasa ni nani baba wa Negroes au wabantu? Huyu ni Shem mtoto wa Nuhu ambaye ukimfuatilia ndio utafika kwa Israel... Ndio maana kuna msemo wa Semitic (ni matamshi kosewa) yaani Shemitic na antisemitic ndio wawapingao hawa Waisrael wa kileo wajiitao wa uzao wa Shem. Wayahudi wa kileo ni nani baba yao? Ni Japhet mtoto wa Nuhu na ukimfuatilia utakutana na Ashkenazi. Hawa ndio wamekuwa wayahudi (Ashkenazi Jews) na Waisrael wa kileo lkn kimsingi wa Shem (Shemites) ndio Waisrael halisi. Pia Kiebrania na kiaramaic (lugha ya Yesu) cha zamani ni kibantu. Simon Mkirene au Simon mweusi (Simon the Negro) alimsaidia Yesu msalaba. Hii ilikuwa ni sawa na kusema "msaidie mwenzako huyo!".
 
Ok nashukuru kwa taarifa ila je kma ethiopia ilikua na watu weusi je waliondoka lini?? Kma hawakuondoka je bado kuna watu weusi Yemen???
Yemen mzee watu weusi mpaka kesho nilikua naangalia Al jazeera watu weusi wapo halafu ni wazawa sasa siyo wakuja generation yao ni wa hapohapo mpaka nikashangaa mzee
 
Kwani Ayubu na Ugawaji (Kutenganishwa kwa Mabara na kupewa Majina) ni kipi kilianza..!?
 
Hamu mtoto wa pili wa Nuhu ndio baba wa weusi lakini ukitoa Negroes (Niggers au wabantu)... Hapo utagundua, watoto wa Ham (wamisri, walibya, waethiopia (kushites) na wakanaani ni weusi lkn sio Negroes (wabantu). Kuna ramani za zamani zinaonesha eneo la West Afrika liliitwa Negroland au Bantuland. Ndio maana ya haya majina ya Niger na Nigeria (walikaa niggers/negroes/bantus baada ya kuhamishwa Samaria na Yudea- Israel kwa vita kali toka kwa Assyrians na Babylonians). Sasa ni nani baba wa Negroes au wabantu? Huyu ni Shem mtoto wa Nuhu ambaye ukimfuatilia ndio utafika kwa Israel... Ndio maana kuna msemo wa Semitic (ni matamshi kosewa) yaani Shemitic na antisemitic ndio wawapingao hawa Waisrael wa kileo wajiitao wa uzao wa Shem. Wayahudi wa kileo ni nani baba yao? Ni Japhet mtoto wa Nuhu na ukimfuatilia utakutana na Ashkenazi. Hawa ndio wamekuwa wayahudi (Ashkenazi Jews) na Waisrael wa kileo lkn kimsingi wa Shem (Shemites) ndio Waisrael halisi. Pia Kiebrania na kiaramaic (lugha ya Yesu) cha zamani ni kibantu. Simon Mkirene au Simon mweusi (Simon the Negro) alimsaidia Yesu msalaba. Hii ilikuwa ni sawa na kusema "msaidie mwenzako huyo!".
Ahsante mkuu kwa kile kikubwa unachokielewa hongera siku moja natamani uelewe zaidi-waisarael wa Leo sio wale halisi kwani Israel ina makabila 12 na makabila 10 kati ya hayo yalipotea mpaka wa Leo lakini inasemekana wako India,Ethiopia,south africa, Haiti,mexico,north america,honduras,uruguay, Jamaica na baadhi ya maeneo Caribbean kwa hiyo kuitaja jamii ya makabila mawili yaliobaki na kuchangamana na wasamaria ambao nao walisambaa ulaya mashariki hasa Russia. pia Israel walitambuana kabila kulingana na rangi ya uzao wa kabila lao kwani walikuwa na weusi uliotofautiana,hivyo basi dunia imefichwa hii siri hata wahubiri wa dini walio wengi hawalijui hili na unaelijua ukisimama kidete lazima bwana atwae.
 
Back
Top Bottom