The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Wasalaam wana Intelligence,
Katika kitabu cha Ayubu 30: anasema "ngozi yangu ni nyeusi ila yanitoka" mstari huu unatupa picha kuwa Nabii Ayubu alikuwa ni mweusi bila shaka hata watu wa nchi hiyo aliyoishi Ayubu walikuwa ni weusi!
Swali nchi hiyo ya Usi aliyoishi Ayubu ilikuwa eneo hapa Afrika?
We boya tuTanganyika tena Kilimanjaro.
hiyo nadharia ya kuwa kiliandikwa na Musa imeshapingwa na watafiti hivi karibuniTafti zinasema nchi ya usi ni eneo ambalo lilikaliwa na edom (uzao wa esau) ambalo kwa sasa ni eneo lililo kusini mwa nchi ya israel na kusini magharbi mwa nchi ya jordan...
Inasemekana kitabu cha Ayubu kiliandikwa na Mussa na hvyo kwa mpangilio kilitakiwa kifate baada ya kitabu cha Mwanzo
View attachment 648241
Mmmmh hyo ramani!! Sheba ipo middle East??? Kivp ssa hakuna race ya watu weusi uarabuni hata leo???Tafti zinasema nchi ya usi ni eneo ambalo lilikaliwa na edom (uzao wa esau) ambalo kwa sasa ni eneo lililo kusini mwa nchi ya israel na kusini magharbi mwa nchi ya jordan...
Inasemekana kitabu cha Ayubu kiliandikwa na Mussa na hvyo kwa mpangilio kilitakiwa kifate baada ya kitabu cha Mwanzo
View attachment 648241
Weusi wa ngozi wa Ayubu nadhani ni kwa sababu alipata mtihani wa kuugua ugonjwa wa ngozi.Wasalaam wana Intelligence,
Katika kitabu cha Ayubu 30: anasema "ngozi yangu ni nyeusi ila yanitoka" mstari huu unatupa picha kuwa Nabii Ayubu alikuwa ni mweusi bila shaka hata watu wa nchi hiyo aliyoishi Ayubu walikuwa ni weusi!
Swali nchi hiyo ya Usi aliyoishi Ayubu ilikuwa eneo hapa Afrika?
Sheba ilikuwa Yemen japo ilikuwa ikitawaliwa na WaethiopiaMmmmh hyo ramani!! Sheba ipo middle East??? Kivp ssa hakuna race ya watu weusi uarabuni hata leo???
Kumbuka anasema "ngozi yangu ni nyeusi ila yanitoka"Weusi wa ngozi wa Ayubu nadhani ni kwa sababu alipata mtihani wa kuugua ugonjwa wa ngozi.
Ok nashukuru kwa taarifa ila je kma ethiopia ilikua na watu weusi je waliondoka lini?? Kma hawakuondoka je bado kuna watu weusi Yemen???Sheba ilikuwa Yemen japo ilikuwa ikitawaliwa na Waethiopia
Ethiopia bado ni weusi au tuseme ni kama wasomali. Yemen ni waarabu japo kuna watu weusi pia. Kumbuka zamani dola ya Axum iliyokuwa Ethiopia ilikuwa ni falme kubwa na maarufu yenye nguvu ambayo siyo tu ilitawala Ethiopia (au Abbsinia) yalipokuwa makao yake makuu bali pia ilitawala hadi sehemu za Yemen na Arabia kama Makkah n.k ndiyo maana hata wakati wa mtume watu wa Makkah waliishi kwa wasi wasi wa kuvamiwa na Wahabeshi (Waethiopia) walikuwa na jeshi lao la TemboOk nashukuru kwa taarifa ila je kma ethiopia ilikua na watu weusi je waliondoka lini?? Kma hawakuondoka je bado kuna watu weusi Yemen???
Duh ahsante kwa darasa sikuwahi fikiria hyo kingdom ili stretch mpaka middle east hadi kuwa tishio..... Big up mkuuEthiopia bado ni weusi au tuseme ni kama wasomali. Yemen ni waarabu japo kuna watu weusi pia. Kumbuka zamani dola ya Axum iliyokuwa Ethiopia ilikuwa ni falme kubwa na maarufu yenye nguvu ambayo siyo tu ilitawala Ethiopia (au Abbsinia) yalipokuwa makao yake makuu bali pia ilitawala hadi sehemu za Yemen na Arabia kama Makkah n.k ndiyo maana hata wakati wa mtume watu wa Makkah waliishi kwa wasi wasi wa kuvamiwa na Wahabeshi (Waethiopia) walikuwa na jeshi lao la Tembo
Al-Akhdam - Wikipedia
Yemen's 'Muwaladeen': The struggle for equal citizenship
The untouchables: Yemen's Marginalised forgotten in the war
Kingdom of Aksum - Wikipedia
Year of the Elephant - Wikipedia
Wewe Bata Mzinga uboya wangu nini hapo?We boya tu
Labda alianza kupata ugonjwa kama wa michael jacksonKumbuka anasema "ngozi yangu ni nyeusi ila yanitoka"
Weusi ulimtoka alipoanza kuugua, ila alikuwa ni mweusi.
Aliugua ukoma wakuuLabda alianza kupata ugonjwa kama wa michael jackson