Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Rais wa Awamu ya kwanza , Mwalimu Nyerere aliwaweka watu waliobpbea kiuchumi kuwa washauri wake.
Mwalimu aliweza kubishana na IMF kwa kipindi kirefu kutokana na misimamo inayotokana na ushauri wa kitaalam toka kwa washauri wake wa kiuchumi.
Mwalimu alishauriwa na magwiji kama Dr Mwaluko, Prof Rweyemamu, Joan Wickens -aliye polish ahotuba zake
Viwanda zaidi ya 400 vilijengwa nchini.
Ufisadi ,wizi wa wazi na poor management iliviua vyote.
At least Mwalimu tried as best as he could.
Sasa hivi Rais hana wataalam wa kiuchumi kumshauri, .
Tuna watu kama Angela Kiziga(taaluma yake haijulikani), Kassim Majaliwa(mwanasiasa zaidi), Dr Mpango(mwanasiasa)
Kwa mambo yalivyo, naona ni bora liende.
Bandari imetema Mji wa Dar es salaam unazama kwa malori, hakuna mwenye idea ya namna ya kuhimili jiji linalotengeneza over 70% ya uchumi wa nchi.
Sasa hivi miundombinu inakuwa managed na mediocres, ndege zimenunuliwa zimelala mchanganin kama embe dodo.
Malori na magari madogo na mabasi yanagombea barabara finyi zinazotengenea ajali zinazoua kuliko ugonjwa wowote nchini.
Agro-based industries bado ni kizungumkuti.
Sekta ya ujenzi ndio inaporomoka kwa kasi
Sekta ya madini bado ni swali la kujiuliza, wawekezaji wazawa hakuna, madini yanakwibwa na wageni kwa kupitia viwanja bubu.
Serikali inajipunguzia mzigo wa kujiendesha kwa kuanzisha Mamlaka kila siku zinazowakamua tozo wafanyabiashara wachache waliopo hadi kuzifanya biashara zisiwe endelevu.
Wawekezaji wachache wanaodiriki kuonja kuwekeza nchini huamua kujiondoa baada ya kuona Tax regime ilivyo nchini.
Bunge ndo kabisa, sasa limukuwa kituo cha Pwagu na Pwaguzi.
Which way Tanzania?