Nchi yangu Tanzania haina tena THINK TANKS wa muelekeo wa kiuchumi, ni bora liende!

Kusema ati Nyerere alikuwa mjinga hayo ni mawazo yako, yanaweza kuwa ya kijinga vile vile.
Hakujatokea kiongozi aliye weza kuweka socialmcohesion kama Mwalimu.
Sasa wewe unaingia katika ideaology
Mwalimu was a thinker, I doubt if you are.

Wasema mambo matano?
Mbona yako mengi tu.
Wewe sijui unatoka wapi na kabila lako ni nini, lakini tukionana hatuta ulizana makabila
Reli ya TAZARA ikijengwa ulikuwa hujazaliwa
Wazo la kuhamia Dodoma
Jeshi la wananchi JWTZ na uanzishwaji wa JKT
Uanzishwaji wa viwanda 400, ikiwemo maono ya refinery ya TIPER, mkavinywa
UDSM , mama wa vyuo vikuu, ikianzishwa sijui kama ulikuwa umezaliwa

Zaidi ya hayo , watu wanajisahau katika wakati huu kuwa Pan Africanism na Ukombozi kusini mwa Afrika , japo si direct economic plus, lakin ni long term goal.
Leo waweza kwenda popote kusini mwa Afrika, miaka yetu Msumbiji na Malawi tu ulikuwa huwezi kwenda kirahisi.
Ni kada ya watu self centered, fisadi tu wanaweza kumponda Mwalimu.
Wala siwezi kukasirika kuitwa MJINGA, maana kila binadamu ni MJINGA sema tumetofautiana tu viwango vya UJINGA. Wapo walio WAJINGA na WAJING SANA. Haya hebu nijibu hizi hoja zako ambazo binafsi naziona zina umufilisi mkubwa:

MOSI, unaposema Social Cohesion kama ni zao la UJAMAA wa Nyerere mimi nakushangaa mno, maana hakuna ushahidi kwamba Tanganyika ingekuwa ni nchi ya kibepari basi kusingekuwa na Social Cohesion. Wanaopenda kushadadia hizi hoja huwa wanaishi kwenye dunia yao wenyewe ambayo haizingatii uhalisia wa kisiasa na kitamaduni ulipo hapa Afrika na duniani kote. Kuna nchi nyingi ambazo siyo za Kijamaa zina Social Cohesion kuliko hata Tanzania. Mfano mzuri ni kwamba, Botswana ina mshikamano kuliko hata Tanzania.

PILI, Social Cohesion ya Tanzania wafuasi huwa mnaniangalia upande mmoja na kishabiki. Upande wenyewe ni ule wa Tanganyika tu, siyo Zanzibar. Mzee Nyerere aweze kuwaunganisha watanganyika lakini ameshindwa kuwaunganisha watanganyika na wazanzibari. Wewe hapo ni moja kati ya watu ambao wamekuwa wakikereka sana na huu MUUNGANO BANDIA, sasa utatakaje nilazimike kuamini kwamba UJAMAA umeleta Social Cohesion ilhali tu WATANGANYIKA na WAZANZIBARI hamkai chungu kimoja ??? Hiyo Social Cohesion iko wapi Tanzania ???

Marekani ambalo ni taifa la Kibeberu limeweza kuwa na Social Cohesion kwa miaka zaidi ya 200, ambapo mataifa zaidi ya 40 yaliungana na mpaka leo hii yameshikamana. Mimi ningewaona wafuasi wa Mzee Nyerere watu wa maana sana endapo mngetuthibitishia kwamba, kabla ya 1966 watanzania walikuwa hawajashikamana na hawapikiki chungu kimoja, ikabidi Mzee Nyerere alete UJAMAA ili kutufanya wamoja. Ikumbukwe dhahiri kabisa, kwamba binafsi nakubaliana na wewe kwa sehemu kwamba Nyerere alifanya kazi kubwa kuliunganisha taifa, huwezi kusema ni kwasababu ya UJAMAA. Ukitoa hoja kama hizi mbele ya wasomi, basi watakushangaa sana na mwishowe watakupuuza.

Sasa nakupa sayansi ya ubaguzi (Critical Social Studies) ambayo mimi niliisoma nikiwa mwaka wa tatu chuo, nikifundishwa na Professor Muingereza. Ubaguzi hasahasa ule wa rangi (Racism) huwa unakuwepo katika nyanja kuu mbili: Nyanja ya kwanza ni Kiitikadi (Ideology), na Nyanja ya Pili ni Kimfumo (Systematic). Kule Ulaya na Marekani, ubaguzi ulianza Kiitakadi na baadaye ukaja Kimfumo. Walichokifanya baadaye ili kuupunguza waliamua kuua mifumo ya kibaguzi ambayo ilihararishwa katika ngazi za kitaifa kupitia sheria. Mambo kama Desegregation and Abolition of Jim Crow Laws.

Ndiyo maana kwenye CRITICAL RACE THEORY huwa kuna swali la msingi huulizwa: Can black people be racist ??? Jibu ni YES and NO.

YES, kwasababu, Kiitikadi (Ideologically) kila binadamu akiwemo mtu mweusi anaweza kuwachukia wazungu kwasababu anazozifahamu yeye ndani ya kichwa chake, na hapa huwa tunaishia kuziita hizi ni STEREOTYPES ambazo mbali na kukarahisha tu hazina madhara yoyote yale makubwa. Lakini sasa mtu mweusi hawezi kufanya ubaguzi wa kimfumo (Systemic Racism) kwasababau hana rasilimali za kufanya hivyo kama ambavyo wazungu waliweza kwa kuhalalisha ubaguzi kutumia sheria na kutengeneza taasisi za kibaguzi kwa maksudi.

Hata hapa kwetu Tanganyika leo hii mwaka 2026, watu ni wakabila KIITIKADI lakini siyo wakabila KIMFUMO kama ilivyokuwa kule RWANDA ambako UKABILA ulihararishwa katika ngazi za kitaifa.

Hapa Tanganyika kama ndani ya makoloni mengi, kulikuwa na mifumo ya kikabila ambayo mkoloni aliitumia katika kutawala. Lakini haikuwa sawa nchi nzima, ilikuwa na nguvu sehemu sehemu tu. Kule Uchagani, Uhayani na Unyakyusa, ambako walau kulikuwa na wasomi na matajiri lakini siyo wengi kama ambavyo tunataka kuaminishwa kwamba wangekuwa ni hatari kwa taifa.

Ukweli mchungu ni kwamba kabla ya 1950 hilo wazo la Tanganyika kuwa nchi moja wala halikuwepo huko kwao Uchagani, Unyakyusani na Uhayani. Wao walikuwa na maisha yao yanaendelea chini ya mkoloni. Hata TAA inapoanzishwa mwaka 1929 haikuwa na lengo la kupigania uhuru wa Tanganyika yote, bali ilianza kama chama cha kupigania maslahi ya wafanyakazi wa kikoloni.

Baadaye TANU ndiyo ikafanya juhudi za kuwaunganisha watu wa koloni lote kugombania uhuru kama taifa moja sasa. Hili halikuwa suala la kijamaa lilikuwa ni suala la akili tu, kwamba lazima tudai uhuru kutoka kwa mkoloni ambalo mtu awe Beberu au Mjamaa lazima afahamu kwamba ilikuwa na ulazima kugombania uhuru wa pamoja na kuwa taifa kuliko uhuru kama kabila dogo na kubagazwa na wakoloni. Ndiyo maana Mzee Nyerere aliungwa mkono na mamia ya wazee wa kiislamu, wazee wa kisukuma, wazee na kichaga halafu baadaye akaja kuwageuka na kuwafuta kabisa kwenye historia.

Mabadiliko makubwa ya kupambana na mifumo ya ukabila (TRIBAL SYSTEMS) yalifanyika mwaka 1963 baada ya Mzee Nyerere kufuta uchifu kupitia "Chiefs (Abolition of Office: Consequential Provisions) Act 1963 na THE NYARUBANJA ACT 1965. Ambayo yote yalifanyika kabla ya UJAMAA wa 1966. Baada ya hapo UKABILA ukabaki kama ITIKADI tu na siyo mfumo, kwasababu Mzee aliona madhara yako hapo nchi jirani mwaka 1959, akasema hili haliwezi kutokea Tanganyika.

Kitu ambacho Nyerere alikifanya kipindi cha UJAMAA ni OPERATION VIJIJI 1973 na OPERATION SOGEZA 1967 ambazo alitengeneza mamia ya vijiji na kulazimisha watu wakae, jambo lililosababisha maumivu, vifo na taharuki kwa maelfu ya watanganyika. Baada ya mwaka 1985 maelfu ya watu walirudi kwenye makazi yao, jambo lililosababisha taharuki kubwa nchini. Kasoma Paper ya Professor Kikula 1991, inaitwa "Development in Land Degradation in Sukuma-land". VIJIJI ndiyo jaribio la ujamaa kulazimisha watu wawe pamoja na likaishia kufeli vibaya.

Ungekuwe walau umemsoma Prof.Justinian Rweyemamu alivyoandika kuhusu Operation Vijiji na wapi walipishana na Mzee Nyerere sidhani kama tungekuwa tunabishana hapa. Kiufupi, watu walienda kulalamika kwa Mzee Nyerere kusema kwamba hawamuelewi Prof. Justinian Rweyemamnu. Mzee Nyerere hakumsikiliza Prof.Rweyemamu kwenye Uchumi, huu ndiyo ukweli ambao wewe unapopinga binafsi nakushangaa mno.

TATU, unatoa mfano kuhusu mashirika 400 ya ummah (SOEs), lakini unasahau kwamba mpaka kufika mwaka 1985, mengi yalikuwa yako mufilisi (Insolvent), hadi kupelekea Mzee Nyerere kung'atuka kiana na kumwachia Mzee Mwinyi jumba bovu la SAPs. Nitashukuru sana hata ungenitajia makampuni walau matatu ya ummah ambayo hadi mwaka 1985 yalikuwa yanafanya vizuri kibiashara bila kutegemea RUZUKU (Government Subsidies) katika kujiendesha. Hili swali Mzee Mkapa aliwauliza hata wakina Prof Shivji kwenye KIGODA CHA MWALIMU wakashindwa kumjibu zaidi ya kufloat the Juche and Cold-War Nostalgia.

==============================================================================
Hivyo basi elewa kwamba UJAMAA was a stupid philosophy which Mzee Nyerere got seduced with after flirting with the COMINTERN/MOIST Bandwagon. Had he listened to admonitions, Mzee Nyerere circa 1965 was heading to a right-track. UJAMAA wake aliouleta hata UCHINA uliwashinda wakabadilika na kuruhusu masoko, leo hii wapo hapo walipo, lakini ninyi bado mnakomaa kusema UJAMAA ulikuwa ni sahihi.

ENIWEI, Binafsi Mzee Nyerere nampenda sana na kumkubali as an Intellectual and a Principled Politician. Ila siwezi kulazimishwa kukubali kwamba sera zake za KIJAMAA zilizosababisha watanganyika wavae kaniki, kobasi na viraka zilikuwa ni sahihi.AU kuaminishwa kwamba UMOJA WA KITAIFA NI ZAO LA UJAMAA, ilhali nafahamu fika kwamba watanganyika walianza kuwa wamoja tokea 1955 baada ya TANU kuanza harakati za uhuru.

Kama watanganyika wangekuwa siyo wamoja, sidhani kama watu wasiomfahamu Nyerere na Kombona, kutoka makabila na dini tofauti, wangediriki hata kuwafuata, kuwachangia fedha na kuwaunga mkono. TANU ni uthibitisho tosha kwamba UMOJA WA KITAIFA ulikuwepo hata kabla ya UJAMAA.
​
 
Kwa mara ya kwanza nimegundua vilaza wanakumbatiwa na kupewa nafasi nyeti kwenye hii awamu, huku watu werevu wakitupwa mbali huko. Ninafikiria kufuatilia tena ili nijue sababu ni nini hasa!
Sasa kama namba moja mwenye O Lvel alitaga unatemea nini mkuu? Akichagua watu weledi watamu-outshine. JK katuweza kweli Watanganyika kutuwekea kilaza.
 
Nyerere alisoma kweli na kuelimika. Alizungukwa na wasomi na alipenda kujiongezea maarifa maisha yake yote.

Hangaya ana elimu ya hapa na pale na kazungukwa na watu ambao haijulikani nao walisoma wapi wala walisomea nini kama yeye mwenyewe. Hangaya, Angela, Abdul, Waziri Salum, mtoto wa Hangaya wote haijulikani walisomea wapi wala walisomea nini. Uwezo wao wa kujenga hoja ni mdogo sana. Nchi imepata hasara kubwa.
 
Kuna mengi ya kujifunza katika historia ya taifa letu,naomba kuuliza swali moja kwako kwanini mwalimu aliamua kufuta historia ya wazee walio jitolea kupambana katika harakati za kudai uhuru ?
 
Tatizo lenu kama Palamagamba Kabudi, mnasoma sana halafu hamuelewi hata mlichosoma.
Mnaishia kuita mlikosoma kuwa ni jalalani, baada ya kugundua kuwa hamuelewi hata mlichosoma.
 
Sijui nikuelewevipi, mara unasema Nyerere alikuwa mjinga(kwa maana mtu asiye soma) halafu unasema Nyerere unamkubali kwa vile alikuwa itellectual, mara Ujamaa una kasoro.
Are you hallucinating!
 
Kuna mengi ya kujifunza katika historia ya taifa letu,naomba kuuliza swali moja kwako kwanini mwalimu aliamua kufuta historia ya wazee walio jitolea kupambana katika harakati za kudai uhuru ?
Kwanini Nyerere alimsingizia Kambona mambo ambayo hakuyafanya ???​
 
Tatizo lenu kama Palamagamba Kabudi, mnasoma sana halafu hamuelewi hata mlichosoma.
Mnaishia kuita mlikosoma kuwa ni jalalani, baada ya kugundua kuwa hamuelewi hata mlichosoma.
Haya wewe uliyesoma sana kuliko sisi, hebu tutajie faida za kiuchumi taifa hili limezipata kutokana na UJAMAA WA NYERERE ambazo ziko mpaka leo hii ??? ​
 
Rais wa Awamu ya kwanza , Mwalimu Nyerere aliwaweka watu waliobpbea kiuchumi kuwa washauri wake.
Mwalimu aliweza kubishana na IMF kwa kipindi kirefu kutokana na misimamo inayotokana na ushauri wa kitaalam toka kwa washauri wake wa kiuchumi.
Mwalimu alishauriwa na magwiji kama Dr Mwaluko, Prof Rweyemamu, Joan Wickens -aliye polish ahotuba zake
Viwanda zaidi ya 400 vilijengwa nchini.
Ufisadi ,wizi wa wazi na poor management iliviua vyote.
At least Mwalimu tried as best as he could.

Sasa hivi Rais hana wataalam wa kiuchumi kumshauri, .
Tuna watu kama Angela Kiziga(taaluma yake haijulikani), Kassim Majaliwa(mwanasiasa zaidi), Dr Mpango(mwanasiasa)

Kwa mambo yalivyo, naona ni bora liende.
Bandari imetema Mji wa Dar es salaam unazama kwa malori, hakuna mwenye idea ya namna ya kuhimili jiji linalotengeneza over 70% ya uchumi wa nchi.
Sasa hivi miundombinu inakuwa managed na mediocres, ndege zimenunuliwa zimelala mchanganin kama embe dodo.
Malori na magari madogo na mabasi yanagombea barabara finyi zinazotengenea ajali zinazoua kuliko ugonjwa wowote nchini.
Agro-based industries bado ni kizungumkuti.
Sekta ya ujenzi ndio inaporomoka kwa kasi
Sekta ya madini bado ni swali la kujiuliza, wawekezaji wazawa hakuna, madini yanakwibwa na wageni kwa kupitia viwanja bubu.
Serikali inajipunguzia mzigo wa kujiendesha kwa kuanzisha Mamlaka kila siku zinazowakamua tozo wafanyabiashara wachache waliopo hadi kuzifanya biashara zisiwe endelevu.
Wawekezaji wachache wanaodiriki kuonja kuwekeza nchini huamua kujiondoa baada ya kuona Tax regime ilivyo nchini.

Bunge ndo kabisa, sasa limukuwa kituo cha Pwagu na Pwaguzi.

Which way Tanzania?
Washauri wa Nyerere ndio walishauri mpk sukari, sabuni, mafuta ya kula zikawa ni bidhaa adimu!!
Nyerere huyu aliyetufanya tutembee uchi!!
Nyerere huyo ndo alikuwa na washauri wazuri!! Can't be serious
 
Kama miaka hiyo ya Nyerere ulisoma bure, basi kutembea uchi bure ulikuwa uamuzi wako.
 
Hata sasa tunasoma bure, tunanunua magari, na twavaa nguo nzr sn za ndani na nje ya nchi.
Tunasoma kwenye umeme na maji mpk shule tofauti na enzi za Nyerere tulitumia vibatari navyo vilikosa mafuta tukawasha vijinga vya moto. Usitukumbushe jinsi Nyerere alivyoua uchumi wa nchi hii
 
Unalewa bure vile vile sasa hivi, maana unajijua uko wapi.
Kodi hazikuhusu maana unakula ration zinakutosha.
 
Serikali imejaa mamluki na machawa kutwa kucha kusifu na kuabudu, nchi inaenda shimoni
 
Back
Top Bottom