Nchi yangu Tanzania haina tena THINK TANKS wa muelekeo wa kiuchumi, ni bora liende!

Hao wa zamani walikuwepo mwaka gani
 
Kwaiyo adui akipiga dar tu nchi kwishaa kiuchumi , kwa nini tuna imvest zaid mkoa mmoja
Maswali mengi huwa najiuliza kwanini bandar ya Tanga wanashindwa kuipa hadhi kubwa kabisa,, coastal regions ukitoa LINDI zina potential ya kutosha.
 
Kama chama kinachoongoza nchi kwa miaka 65 sasa viongozi wake wa juu ni sampuli hii hao think tanks watapata wapi nafasi ya kutoa mchango wao kwa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…